Smile shosti unanipa raha sana yani nipe tu whatsap yako pm unitoege stress mwayego
apa nagalagala kwa kicheko uwiiii, gnoja niitafute kwanza iyo thread ya boxer:A S-confused1:
Inaonekana pamoja na yote yaliyotokea btn you alikuwa anakufikisha kileleni. pole sana jikeep bussy siku mzima, have fun ili kumwondoa mawazoni. italuchukua muda lkn kukutoka
Tatizo watu hatupangi tuote nini ushauri utakuwa mwingi bt ndoto ipo pale! Ukiota siyo kwamba ndio kitakachokutokea, ukiota umepata pesa ukiamka asubui hukuti pexa lakini ukiota unasex asubuh unakuta umetotesha kitanda! Usijal cyo kwamba kila unachoota ni kwel!
Smile hata mi nimekuona kuwa ulikuwa kama mtu aliyewahi kuumizwa kwenye mahusiano. Utakuwa unamuota kwasababu umewaza mambo ya kuwa hurt tena, so, acha kufikiri kama mwingine atakuumiza, na jitahidi msamaehe yule kaka kwa moyo wote!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.