Namuota x mpenzi wangu kila siku

Namuota x mpenzi wangu kila siku

Ushauri mbovu kwako ila muhusika hajasema hivyo tuliza mshono dogo, wagombanao ndio wapatanao msidhani hapa JF ni sehemu ya kujiokotea mademu walio lonely,

Biblia inasema heri yao wapatanishi maana watamwona Mungu. Jiangalie wewe.

Jamaa kaoa wapatane nini??
 
Ushauri mbovu kwako ila muhusika hajasema hivyo tuliza mshono dogo, wagombanao ndio wapatanao msidhani hapa JF ni sehemu ya kujiokotea mademu walio lonely,

Biblia inasema heri yao wapatanishi maana watamwona Mungu. Jiangalie wewe.

ni kosa kubwa sana BINTI KUJITONGOZESHA KWA MUME ALIE ACHANA NAE... NDO WAMSHAURI HIVYO.!!
 
Duh Smile kama upo serious basi jua bado kuna connection kati yenu bado hujazikata. Kuna truth hujai accept maishani....
That way hata umuite punda..farasi au ata chui bado haitabadili ukweli kuna maagano hujayavunja.
Solution si denial ni acceptance then you can be able to move on.
 
Last edited by a moderator:

mkuu Mentor .... Smile ana ukame tu... Anahitaji MPINI.
 
Last edited by a moderator:
ukiacha kumuwaza huyo "mbuzi" (nimenukuu) utaacha kumuota....

Kuhusu wanaume kukupm kuwa umewadhalilisha wala usihofu mwaya, umewaambia ukweli na siku zote ukweli unauma
 
ukiacha kumuwaza huyo "mbuzi" (nimenukuu) utaacha kumuota....

Kuhusu wanaume kukupm kuwa umewadhalilisha wala usihofu mwaya, umewaambia ukweli na siku zote ukweli unauma

Akii ukiachwa utaitwa kila jina huyu kaitwa mbuzi sasa sijui yule x angu ananiata ng'ombe loh aheri aniite paka
 
...hahahahaaaaa..,,,..!! ngoja kwanza akome...

Loh mbona sasa wawa na roho mbaya?msaidie bwana charity begins at home sasa anza hapa lol
Aache ota mbuzi sasa aote juan miguel ako by her side
 
kama nilivosema sijawai kumuwaza hata kidogo..kwanza nilishamsahau kidogo simpendi hata kidogo...ningesema mbona?

mh hapo kwenye red sina hakika sana ...kwa sababu mara nyingi tunaota vitu tunavyoviwaza au kuvifikiria yani kama mchana ulifanya kitu na usiku ubongo katika ku roll kwake ikafika ile part ya mchana basi ndo unaota kwa mantiki hiyo bado yupo kichwani huyo jamaa sema labda utuambia unamuota katika context gani...1. the way alivyomis treat and disappointment au good time na malovey davvy mlizokuwa pamoja .....so kama ni good time jua kabisa hapo umenasa
 
alaf kama mi ndo ningekuwa mbuzi wako wa sasa alafu unalala na mimi kitanda kimoja asubuhi unaniambia umemuota X WAKO walahi panachimbika
 
Umenikumbusha fujo za mjini, tulishamkalia msiba mbuzi mwingine ili shosti aweze kulet go. Hali ilikuwa tete. We spent a night nyumbani kwa shosti, cleaned up na tukikuta hata soksi tuna tupa. Afu tukaweka magodoro sebleni. Watched movies, drinking, poppong corns and cursed his sorry arse all night long. Ilisaidia aisee manake yule beberu alikuwa anaingia na kutoka moyoni kwa shosti kama chooni!

Ila hiO ndoto kemea. Tubu na ujitenge nae mazima.
 
Back
Top Bottom