Namuota x mpenzi wangu kila siku

Namuota x mpenzi wangu kila siku

helo my dears ..kwanza naombeni niombe radhi kwa wanaume wote kuhusu ile thread ya boxer..naona wengi mlinimind hadi pm eti nimewadhalilisha. ila yule jamaa alivaa chupi mbaya jamani acheni hizo..ila am sory nisameheni tu bure.ila mvae chupi nzuri!
back to topic mi bana kuna jamaa yangu niliachana nae long time sana ..ni mpenzi wangu wa kwanza.nilikuwa kweli nampenda saaaana .nilimuheshimu nilimthamini ila ndo hivo haikuwa riziki.since nimeachana nae ni miaka almost sita sasa.
mara ya mwisho kabisa kuwasiliana ile kishkaji ni 2011 alipooa.since then nilimtoa kwenye kichwa changu kabisaaa,,no calls ,no sms ..no mail to me ni kama hata hayupo duniani.
honestly mimi sio mtu wa kuamini ndoto saana ..mimi nikiota nimeota!
nina kama wiki mbili sasa kila siku namuota huyu mbuzi ..kila siku namuona kwenye ndoto zangu.basio nikamwambia dada mmoja wa maombi .akaniambia ina maana kwamba nitapata au kama nina mpenzi ambae kwake yatanikuta yaleyale ya huyo jamaa wa mwanzoni.
sasa nikikumbuka yule jamaa...mistreatment..dissapointment na kibuti mmmh!
sijui ni kweli sijui lakini ...ila nimemuachia tu Mungu lakini...nawaogopa wanaume kama hiv sasa!

Mama, just live your life... dreams are meaningless if you dont give them a chance
 
Asee mcheki huyo jamaa, try to get in touch wt him maybe something z about to happen to him, God is tryng to tell you something, please abeg ndoto si kitu cha mzaha most especially kama ni yakujirudia rudia
 
Miaka sita iliyopita huku mtu juzikati alikua anadai bado mgeni wa wanaume,au nimemix ID?.
 
Umenikumbusha fujo za mjini, tulishamkalia msiba mbuzi mwingine ili shosti aweze kulet go. Hali ilikuwa tete. We spent a night nyumbani kwa shosti, cleaned up na tukikuta hata soksi tuna tupa. Afu tukaweka magodoro sebleni. Watched movies, drinking, poppong corns and cursed his sorry arse all night long. Ilisaidia aisee manake yule beberu alikuwa anaingia na kutoka moyoni kwa shosti kama chooni!

Ila hiO ndoto kemea. Tubu na ujitenge nae mazima.
mi sijawai kumuwazia hata kidogo hata sijui katokea wapi kwa kweli
 
Ila pia angalia angalia jini mahaba huwa anakuja hivyo hivyo kwaa kuvaa sura ya mtu.
 
helo my dears ..kwanza naombeni niombe radhi kwa wanaume wote kuhusu ile thread ya boxer..naona wengi mlinimind hadi pm eti nimewadhalilisha. ila yule jamaa alivaa chupi mbaya jamani acheni hizo..ila am sory nisameheni tu bure.ila mvae chupi nzuri!
back to topic mi bana kuna jamaa yangu niliachana nae long time sana ..ni mpenzi wangu wa kwanza.nilikuwa kweli nampenda saaaana .nilimuheshimu nilimthamini ila ndo hivo haikuwa riziki.since nimeachana nae ni miaka almost sita sasa.
mara ya mwisho kabisa kuwasiliana ile kishkaji ni 2011 alipooa.since then nilimtoa kwenye kichwa changu kabisaaa,,no calls ,no sms ..no mail to me ni kama hata hayupo duniani.
honestly mimi sio mtu wa kuamini ndoto saana ..mimi nikiota nimeota!
nina kama wiki mbili sasa kila siku namuota huyu mbuzi ..kila siku namuona kwenye ndoto zangu.basio nikamwambia dada mmoja wa maombi .akaniambia ina maana kwamba nitapata au kama nina mpenzi ambae kwake yatanikuta yaleyale ya huyo jamaa wa mwanzoni.
sasa nikikumbuka yule jamaa...mistreatment..dissapointment na kibuti mmmh!
sijui ni kweli sijui lakini ...ila nimemuachia tu Mungu lakini...nawaogopa wanaume kama hiv sasa!

ufafanuzi tafadhali, unaye muota ni x-boy friend wako au mbuzi? pili, unamuona ndotoni akifanya nini? je, unakipenda ukionacho au la! ukiacha kibuti, kuna memories nzuri na good practices unazikumbuka na ku-admire au pengine unatamani zijirudie? vipi una uhusiano wa kimapenzi na man mwingine baada ya huyo x-boy wako? are you happy with him?
 
Kuna ugonjwa wa akili mie hua nauita wanawake wanajipatia wenyewe ni huu!! Eti mtu ambaye aliembikiri hawezi kumsahau maishani na mda wowote Kama mshkaji atahitaji papuchi basi yupo tayari kutoa haijalishi msichana alishaolewa au vipi! Huu ni ugonjwa wa akili Kama magonjwa mengine!! Mfano binafsi nimeshawafungua papuchi 5 different girls it means bado wanakumbuka nitarudi Kuomba papuchi!? Mots post wewe ni mmoja wa wanaosumbuliwa na huo ugonjwa! Badilikeni
 
Mama, just live your life... dreams are meaningless if you dont give them a chance
huwa siamini katika ndoto kabisa ni vile tu naota kila siku jambo hilo hilo
 
Kuna ugonjwa wa akili mie hua nauita wanawake wanajipatia wenyewe ni huu!! Eti mtu ambaye aliembikiri hawezi kumsahau maishani na mda wowote Kama mshkaji atahitaji papuchi basi yupo tayari kutoa haijalishi msichana alishaolewa au vipi! Huu ni ugonjwa wa akili Kama magonjwa mengine!! Mfano binafsi nimeshawafungua papuchi 5 different girls it means bado wanakumbuka nitarudi Kuomba papuchi!? Mots post wewe ni mmoja wa wanaosumbuliwa na huo ugonjwa! Badilikeni
honestly siwezi kufanya hivo hata kidogo kweli kabisa
 
ufafanuzi tafadhali, unaye muota ni x-boy friend wako au mbuzi? pili, unamuona ndotoni akifanya nini? je, unakipenda ukionacho au la! ukiacha kibuti, kuna memories nzuri na good practices unazikumbuka na ku-admire au pengine unatamani zijirudie? vipi una uhusiano wa kimapenzi na man mwingine baada ya huyo x-boy wako? are you happy with him?
mbona majibu ya maswali yako yote nimeyajibu? hujaelewa wapi mkuu
 
helo my dears ..kwanza naombeni niombe radhi kwa wanaume wote kuhusu ile thread ya boxer..naona wengi mlinimind hadi pm eti nimewadhalilisha. ila yule jamaa alivaa chupi mbaya jamani acheni hizo..ila am sory nisameheni tu bure.ila mvae chupi nzuri!back to topic mi bana kuna jamaa yangu niliachana nae long time sana ..ni mpenzi wangu wa kwanza.nilikuwa kweli nampenda saaaana .nilimuheshimu nilimthamini ila ndo hivo haikuwa riziki.since nimeachana nae ni miaka almost sita sasa.mara ya mwisho kabisa kuwasiliana ile kishkaji ni 2011 alipooa.since then nilimtoa kwenye kichwa changu kabisaaa,,no calls ,no sms ..no mail to me ni kama hata hayupo duniani.honestly mimi sio mtu wa kuamini ndoto saana ..mimi nikiota nimeota!nina kama wiki mbili sasa kila siku namuota huyu mbuzi ..kila siku namuona kwenye ndoto zangu.basio nikamwambia dada mmoja wa maombi .akaniambia ina maana kwamba nitapata au kama nina mpenzi ambae kwake yatanikuta yaleyale ya huyo jamaa wa mwanzoni.sasa nikikumbuka yule jamaa...mistreatment..dissapointment na kibuti mmmh!sijui ni kweli sijui lakini ...ila nimemuachia tu Mungu lakini...nawaogopa wanaume kama hiv sasa!

Hiyo kitu inaitwa "TELEPATHY" ni kwamba huyo jamaa huko aliko anajuta sana juu yako, ukizubaa kumsaidia atampiga mtu risasi sasa hivi! Kama huamini mpigie simu ili uone reaction yake kwako.
 
helo my dears ..kwanza naombeni niombe radhi kwa wanaume wote kuhusu ile thread ya boxer..naona wengi mlinimind hadi pm eti nimewadhalilisha. ila yule jamaa alivaa chupi mbaya jamani acheni hizo..ila am sory nisameheni tu bure.ila mvae chupi nzuri!
back to topic mi bana kuna jamaa yangu niliachana nae long time sana ..ni mpenzi wangu wa kwanza.nilikuwa kweli nampenda saaaana .nilimuheshimu nilimthamini ila ndo hivo haikuwa riziki.since nimeachana nae ni miaka almost sita sasa.
mara ya mwisho kabisa kuwasiliana ile kishkaji ni 2011 alipooa.since then nilimtoa kwenye kichwa changu kabisaaa,,no calls ,no sms ..no mail to me ni kama hata hayupo duniani.
honestly mimi sio mtu wa kuamini ndoto saana ..mimi nikiota nimeota!
nina kama wiki mbili sasa kila siku namuota huyu mbuzi ..kila siku namuona kwenye ndoto zangu.basio nikamwambia dada mmoja wa maombi .akaniambia ina maana kwamba nitapata au kama nina mpenzi ambae kwake yatanikuta yaleyale ya huyo jamaa wa mwanzoni.
sasa nikikumbuka yule jamaa...mistreatment..dissapointment na kibuti mmmh!
sijui ni kweli sijui lakini ...ila nimemuachia tu Mungu lakini...nawaogopa wanaume kama hiv sasa!

Pole sana Maana hayo ni Mapepo Mahaba, huwatokea hata wanaume. Muombe Mungu sana maana hayo yatakusababishia si tu Ukose Mume bali ushindwe hata Kuzaa.
 
msamehe......na ukiweza kaonane na padri/mtumishi wa Mungu atakushauri kiroho itakusaidia sana......
 
pole sana maana hayo ni mapepo mahaba, huwatokea hata wanaume. Muombe mungu sana maana hayo yatakusababishia si tu ukose mume bali ushindwe hata kuzaa.
nimefunikwa na damu ya yesu bwana sina pepo mie
 
Back
Top Bottom