Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,629
- Thread starter
- #61
siwezi kumpigia simu sina la kuongea nae katika ulimwengu huuhiyo kitu inaitwa "telepathy" ni kwamba huyo jamaa huko aliko anajuta sana juu yako, ukizubaa kumsaidia atampiga mtu risasi sasa hivi! Kama huamini mpigie simu ili uone reaction yake kwako.