Namuonea huruma,nampenda lakini sio kimahusiano

Namuonea huruma,nampenda lakini sio kimahusiano

Dah sijawah kua na mtu akanipiga chenga zaidi hua ananitafuta unakuta mwngn ht muda nae sina ila usumbufu mwingi...kimbembe ni huyu niliempemda mimi[emoji23][emoji23] mwanzo tulianza kimasihara baada ya tendo nikapoteza akaniganda mpk nikajikuta nimempenda ndani ya miaka3 nimempenda mpk nahis km sio mimi hlf ss hv anakua na poz sijui ndio nalipa dhambi ya kuwaringia wengin[emoji20][emoji20]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo ambalo sikujaliwa na Muumba wa mbingu ni kumwambia mtu ukweli kama sikuhitaji, silidhiki kuwa na wewe, yani siwezi cha kwanza namuonea huruma halafu nitamfedhehesha mno na atajiona hana thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono na mguu kwa 100%, hata Mimi siwezi kabisa huo ndio udhaifu mkubwa nilionao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki iliyopita nilisema naanza upya!!
Mademu wote 4 kati ya sita nimepiga chini uso mkavu bila huruma.

Welia lkn ndo nishaamua. Bado hawa wawili nawavutia pumzi. Kimoja nahofia kinaweza kunywa sumu.

Sikupenda hata mmoja, wengine nyegee tu zikinizidi.

Pamoja na kwamba najua nimekosea, lkn hakuna namna. Gharama za laana zao nazipokea.
Duu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma kazini
Dah sijawah kua na mtu akanipiga chenga zaidi hua ananitafuta unakuta mwngn ht muda nae sina ila usumbufu mwingi...kimbembe ni huyu niliempemda mimi[emoji23][emoji23] mwanzo tulianza kimasihara baada ya tendo nikapoteza akaniganda mpk nikajikuta nimempenda ndani ya miaka3 nimempenda mpk nahis km sio mimi hlf ss hv anakua na poz sijui ndio nalipa dhambi ya kuwaringia wengin[emoji20][emoji20]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki iliyopita nilisema naanza upya!!
Mademu wote 4 kati ya sita nimepiga chini uso mkavu bila huruma.

Welia lkn ndo nishaamua. Bado hawa wawili nawavutia pumzi. Kimoja nahofia kinaweza kunywa sumu.

Sikupenda hata mmoja, wengine nyegee tu zikinizidi.

Pamoja na kwamba najua nimekosea, lkn hakuna namna. Gharama za laana zao nazipokea.
Eeeeh!
 
Mchane tu mbona fresh(ila usimwambie kuwa havutii), kuliko kumkimbia bila kumwambia kitu utampa maswali mengi.
 
Ni bora umetambua mapema so fanya maamuzi kuliko kuendelea kumpotezea mda huyo dada...

Usimwambie kua huvutiwi nae, utaumiza hisia zake zaid,bora umpotezee hua tunajiongeza tukiona mtu anapiga chenga japo inauma ila ndo huwezi force mtu akupende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwenye para za mwanzo umeandika vibaya kwamba hanivutii yuko hovyo..That’s not Gentlemanly!
Ungesema hakukuvutia inatosha, ila hayuko hovyo. Kuna wengine wanalala wanamuwaza watampata vipi...

Kama hujampenda jitahidi kumwambia ukweli ili asitegemee mengi kutoka kwako au tengeneza fumanio ajue una mtu mwingine kama kumuambia ukweli utamshindwa.
Eg. Tuma sms ya mahaba kumsifia demu fula ambae haexist fanya kama umekosea kutuma ikaenda kwake..jina liwe la mwanamke mwingine
Paragraph ya pili usiifanyie kazi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ilinitokea kwa demu mmoja akafall kwangu kwa speed ya 4G akijua nina hela maana vitu vya hela navielewa sana, yani mishe za magari, malls, biashara na expensive shits. Yeye mwenyewe feki aliniaminisha wa kishua tukaja achana baada ya miezi kadhaa mbele. Ningekuwa na hela asingenikimbia, lakini si njaa kali mimi.

Kesi yako ni tofauti mkuu, ulikimbiwa kisa ‘hela’.
 
Baada ya kuwa karibu naye kwa kipindi kirefu,niliona kila aina ya dalili ya kupewa mzigo nikashawishika nikaitumia vizuri sana fursa hatimaye nikapewa mzigo,baada kwenda faraghani na kubaki kama tulivyozaliwa nilijuta sana maana mwili wake hauvutii kabisa yuko hovyo.

Kwakuwa tulishakifungia na tayari tushachojoa mavazi sikuwa na namna,nikala tunda hivyo hivyo(nilizipeleka hisia kwa mwingine nikiwa simwangalii yeye),baada ya kula tunda akaanza kufanya kila mbinu ili niwe chini ya himaya yake,mara nyingi akihitaji nionane naye nimekuwa napigapiga chenga siku moja moja namuonea huruma nampa anachokitaka.

Kichwani Yuko vizuri sana ni mshauri mzuri Sana pia sio mtu wa mizinga hata kidogo Ila tatizo ni moja tu hanivutii kabisa,Sasa nimeamua liwalo na liwe bora lawama Ila siwezi kujilazimisha niwe na mtu ambaye moyo wangu haufurahii kuwa naye,Jamani ukiona mtu anapiga chenga achana naye,hajakwambia kwanini anakupiga chenga kwasababu anakuheshimu/hataki kukukwaza,unataka akwambie unanuka mdomo? Unanuka kikwapa ?huna mvuto? Hayo yote ya Nini!!!!!.

Nimejifunza kutowakomalia wale wanaonipiga chenga baada ya kunanii naamini kuna mapungufu makubwa waliyaona kwangu hatimaye wakaamua kunikwepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matiti bandia, tako la mchina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom