Namuonea huruma,nampenda lakini sio kimahusiano

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
3,249
2,000
Baada ya kuwa karibu naye kwa kipindi kirefu,niliona kila aina ya dalili ya kupewa mzigo nikashawishika nikaitumia vizuri sana fursa hatimaye nikapewa mzigo,baada kwenda faraghani na kubaki kama tulivyozaliwa nilijuta sana maana mwili wake hauvutii kabisa yuko hovyo.

Kwakuwa tulishakifungia na tayari tushachojoa mavazi sikuwa na namna,nikala tunda hivyo hivyo(nilizipeleka hisia kwa mwingine nikiwa simwangalii yeye),baada ya kula tunda akaanza kufanya kila mbinu ili niwe chini ya himaya yake,mara nyingi akihitaji nionane naye nimekuwa napigapiga chenga siku moja moja namuonea huruma nampa anachokitaka.

Kichwani Yuko vizuri sana ni mshauri mzuri Sana pia sio mtu wa mizinga hata kidogo Ila tatizo ni moja tu hanivutii kabisa,Sasa nimeamua liwalo na liwe bora lawama Ila siwezi kujilazimisha niwe na mtu ambaye moyo wangu haufurahii kuwa naye,Jamani ukiona mtu anapiga chenga achana naye,hajakwambia kwanini anakupiga chenga kwasababu anakuheshimu/hataki kukukwaza,unataka akwambie unanuka mdomo? Unanuka kikwapa ?huna mvuto? Hayo yote ya Nini!!!!!.

Nimejifunza kutowakomalia wale wanaonipiga chenga baada ya kunanii naamini kuna mapungufu makubwa waliyaona kwangu hatimaye wakaamua kunikwepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dada hakujileta duniani mwenyewe na kila mtu anamapungufu chamsingi mwambie tu uachane nae bac.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,625
2,000
Kanielewa saaaana sio kidogo ila mimi waaaala

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi juwa wanawake tunatunza siri, Wenda nae alikuwa anakuvumilia kasoro zako ulizo nazo Wenda baadhi ya viungo vyako ila akajisemea moyoni kuwa ulipewa na Mungu, Wenda harufu mdomoni, ila akajisemea kuna Siku utabadilika. Like zati like zati😂
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom