Namuonea huruma,nampenda lakini sio kimahusiano

Namuonea huruma,nampenda lakini sio kimahusiano

Baada ya kuwa karibu naye kwa kipindi kirefu,niliona kila aina ya dalili ya kupewa mzigo nikashawishika nikaitumia vizuri sana fursa hatimaye nikapewa mzigo,baada kwenda faraghani na kubaki kama tulivyozaliwa nilijuta sana maana mwili wake hauvutii kabisa yuko hovyo.

Kwakuwa tulishakifungia na tayari tushachojoa mavazi sikuwa na namna,nikala tunda hivyo hivyo(nilizipeleka hisia kwa mwingine nikiwa simwangalii yeye),baada ya kula tunda akaanza kufanya kila mbinu ili niwe chini ya himaya yake,mara nyingi akihitaji nionane naye nimekuwa napigapiga chenga siku moja moja namuonea huruma nampa anachokitaka.

Kichwani Yuko vizuri sana ni mshauri mzuri Sana pia sio mtu wa mizinga hata kidogo Ila tatizo ni moja tu hanivutii kabisa,Sasa nimeamua liwalo na liwe bora lawama Ila siwezi kujilazimisha niwe na mtu ambaye moyo wangu haufurahii kuwa naye,Jamani ukiona mtu anapiga chenga achana naye,hajakwambia kwanini anakupiga chenga kwasababu anakuheshimu/hataki kukukwaza,unataka akwambie unanuka mdomo? Unanuka kikwapa ?huna mvuto? Hayo yote ya Nini!!!!!.

Nimejifunza kutowakomalia wale wanaonipiga chenga baada ya kunanii naamini kuna mapungufu makubwa waliyaona kwangu hatimaye wakaamua kunikwepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemtoa povu zito kwly au yuko huku unataka aone kwamba humtaki hlfu inaonekana ww n muoga sana u can't express your feelings mbele za mtu kwahiyo hisia zako juu yake umeamua kuzileta humu nadhan sasa utakuwa umepata una fuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemtoa povu zito kwly au yuko huku unataka aone kwamba humtaki hlfu inaonekana ww n muoga sana u can't express your feelings mbele za mtu kwahiyo hisia zako juu yake umeamua kuzileta humu nadhan sasa utakuwa umepata una fuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe unatakiwa kuwa mwoga Kama mimi, hutakiwi kumwambia mtu wako wa karibu kitu chochote ambacho kitamuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww unakesi kama yangu ila mm nimeamua kukubali ...nione mwisho wake utakuwaje ..yupo yupo havutiii ,kitambi sio kitambi

Unaweza kuwa stimu ila ukiona akivua kama furushi sio furushi

Ndiyo nishayavulia maji sasa yaani unamtafutia sababu ya kumuacha unakosa

sent from toyota Allex
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nimeshindwa Ila nimeapa kamwe sitamwambia hanivutii ni mwendo wa chenga tu mpaka akate tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwenye para za mwanzo umeandika vibaya kwamba hanivutii yuko hovyo..That’s not Gentlemanly!
Ungesema hakukuvutia inatosha, ila hayuko hovyo. Kuna wengine wanalala wanamuwaza watampata vipi...

Kama hujampenda jitahidi kumwambia ukweli ili asitegemee mengi kutoka kwako au tengeneza fumanio ajue una mtu mwingine kama kumuambia ukweli utamshindwa.
Eg. Tuma sms ya mahaba kumsifia demu fula ambae haexist fanya kama umekosea kutuma ikaenda kwake..jina liwe la mwanamke mwingine
Sorry mkuu nimeteleza hapo na Mungu anisamehe pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ilinitokea kwa demu mmoja akafall kwangu kwa speed ya 4G akijua nina hela maana vitu vya hela navielewa sana, yani mishe za magari, malls, biashara na expensive shits. Yeye mwenyewe feki aliniaminisha wa kishua tukaja achana baada ya miezi kadhaa mbele. Ningekuwa na hela asingenikimbia, lakini si njaa kali mimi.
 
Kadhia kama hii iliwahi kunikumba miaka kadhaa iliyopita

Aiseeeee baadhi ya wanawake mna papuchi zinatisha dooouuuuuhhhhhhhh!! Puchi ina mashavu yameninginia ova malapulapu ya gereji mngh!

Mikuburo ya Bugando ina nafuu chaaaaah!
Aisee, kwani hizo papuchi tulijiumbia sisi jamani?, mbona hivo kukosoa uumbaji[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki iliyopita nilisema naanza upya!!
Mademu wote 4 kati ya sita nimepiga chini uso mkavu bila huruma.

Welia lkn ndo nishaamua. Bado hawa wawili nawavutia pumzi. Kimoja nahofia kinaweza kunywa sumu.

Sikupenda hata mmoja, wengine nyegee tu zikinizidi.

Pamoja na kwamba najua nimekosea, lkn hakuna namna. Gharama za laana zao nazipokea.
 
Kadhia kama hii iliwahi kunikumba miaka kadhaa iliyopita

Aiseeeee baadhi ya wanawake mna papuchi zinatisha dooouuuuuhhhhhhhh!! Puchi ina mashavu yameninginia ova malapulapu ya gereji mngh!

Mikuburo ya Bugando ina nafuu chaaaaah!
Ha haaa jamani, sasa kama tumeumbwa hivyo tufanyeje? Btw mchagua nyuchi si mtombaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah sijawah kua na mtu akanipiga chenga zaidi hua ananitafuta unakuta mwngn ht muda nae sina ila usumbufu mwingi...kimbembe ni huyu niliempemda mimi[emoji23][emoji23] mwanzo tulianza kimasihara baada ya tendo nikapoteza akaniganda mpk nikajikuta nimempenda ndani ya miaka3 nimempenda mpk nahis km sio mimi hlf ss hv anakua na poz sijui ndio nalipa dhambi ya kuwaringia wengin[emoji20][emoji20]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom