Namuonea huruma mama Lucy Nkya

Yapo...Amejenga dispensary,Daraja la mtombozi linajengwa kwa mil 525 sasa,Barabara inaanza kuchongwa pia.Project ya bwawa imeanza na wananchi washalipwa
Daraja la mtombozi kule siyo la huyu mama. Jimbo la mama huyu linaanzia daraja la ruvu kurudi nyuma kama unaenda mjini.
 
Sorry ni la gizigizi, Tegetero huyu mama kununua jengo kwa niaba ya Kata waweke dispensary, Kalundwa wanamradi wa maji,ludewa wamejengewa zahanati,kibwaya wanamradi mkubwa wa maji,Tegetero pia mradi wa maji,Mikese pia kuna mradi wa maji in the offing.Mnyongenyongeni haki yake mpeni
 
Pia ukiwa huko waulize watoto yatima...hawa nakumbuka walijengewa nyumba na kulipiwa ada na huyu mama...
 
Sasa hao watoto huyu ndugu anawaongelea sijui ni wapi...
 
Wacha kutaja kabila za watu,mbona wahaya na wachaga hujawataja km nao ni majanga ktk nchi hii,tuache mambo ya kijinga
 
Butiama,
Na mimi je? Niwekee copy moja basi.

Mkuu jengo unalozungumzia huyu mama hakununua ila likikuwa ni jengo chakavu la serikali hivyo kanisa la anglikan wamepewa na serikali ya kijiji na kuanzisha dispensary na hiyo miradi ya maji unayozungumzia ni miradi hewa nilikuwa tegetero juzi hakuna miradi unayosema kama ww ni katibu wake basi pesa zinaliwa huku.
 
TAWA

Pole huo ndo ukweli. Vikabila inferior mwisho kuwapa uongozi. Ishu ya Escrow ungekuwa unaijua vizuri usingekurupuka.
 
Last edited by a moderator:
assengagt

Join Date : 3rd August 2011
Posts : 19
Rep Power : 478
Likes Received1
Likes Given0
 
Last edited by a moderator:
Yapo...Amejenga dispensary,Daraja la mtombozi linajengwa kwa mil 525 sasa,Barabara inaanza kuchongwa pia.Project ya bwawa imeanza na wananchi washalipwa

Wacha ujinga unataka kunambia kuchongwa kwa Barabara ni juhudi za huyo MAMA? mradi ule niwamuda mrefu kabla ya huyo mtu
 

Mbona hujataja MKULAZI na Vijiji vya ukanda huo
 
Pole huo ndo ukweli. Vikabila inferior mwisho kuwapa uongozi. Ishu ya Escrow ungekuwa unaijua vizuri usingekurupuka.

Nawewe ndugu acha ujinga hebu tutajia Kabila iliyopiga ESCROW
 
Umekosea. Alianza Amir Jamal
Na wewe umekosea;alianza Mwl J.K.Nyerere kutoka Butiama mkoani Mara enzi za bunge la Tanganyika.Maisha yakasonga wakaibuka sasa waliofatia wakiwemo hao na kina Abbas Gulamali.Kiufupi mkoa wa Morogoro wako poa sana kuondoa ile dhana ya "Uzawa"
Kuna ka mkoa fulani kaskazini mwa nchi yetu nakachukia sana kwa kuwabagua watu kiuongozi kisa si Wazawa.As long as naichukia CCM huyu mama aondolewe tu but si kwa fact ya "uzawa",
Wabhejasana!!
 

kifupi huyu mama keshaondoka anayebisha tusubiri 2015
 
Wacha ujinga unataka kunambia kuchongwa kwa Barabara ni juhudi za huyo MAMA? mradi ule niwamuda mrefu kabla ya huyo mtu

Kwanza aseme barabara gani imechongwa maana hapa Npo barabarani natoka kisemu/ mtamba kwenda tawa, barabara ni mbovu haifai. Naangaika na kadaraja kabovu
 

Attachments

  • 1418188721115.jpg
    109.1 KB · Views: 179
kifupi huyu mama keshaondoka anayebisha tusubiri 2015

Tupachike mtu makini na mwenye uwezo Wa kutetea morogoro vijijini. Hata kalogelesi ang'oke
 

Ukawa tutamtoa tu atake asitake,ccm wote ni wezi,wazee wa escrow
 

TAWA na Kisewe ni wajinga wanaoamini katika ukabila na ndio tatizo la Waluguru.
hawaoni Miji iiliyoendelea Arusha, Dar-es-salaam, Mwanza kunamakabila mchanganyiko ambako Waluguru hawapo huko.
Kuna Makabila ambayo yanajihusisha na Biashara au Siasa Waluguru hawapo

Cha muhimu waache roho mbaya, mgeni yeyote ni mtanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…