TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
Kama kuna wabunge Wa chama cha mapinduzi wenye wakati mgumu katika harakati za kurudi bungeni baada ya uchaguzi Mkuu Wa mwakani 2015 basi mbunge Wa morogoro kusini mashariki, mama Lucy Nkya ana kazi kubwa mno.
Huyu mama hakubaliki hata na watoto wadogo kwenye jimbo lake kwani:
1. Anahusishwa na kifo cha aliyekuwa diwani Wa kinole (ccm) Kwa kuwa walikuwa wakigombania nyumba ambayo mama alimuonga diwani huyo ili awashawishi wananchi ambao hawamtaki mama.
2. Mama nkya siyo mzawa Wa eneo husika hivyo watu Wa kiloka, mkuyuni pamoja na kinole ambao Kwa asili ni waluguru wamechoka kutawaliwa na Mgeni Kwa miaka sasa wakati eneo hilo lina wazawa wengi wenye sifa.
3.Hakuna maendeleo yoyote ambayo yamefanyika toka kuja Kwa mama huyu. Soko lililojengwa mkuyuni ni kazi nzuri ya mwenyekiti Wa kijiji (CUF) Kwa kushirikiana na diwani wake. Mama huyu haonekani jimboni.
KWA MAEKEZO HAYA, MAMA TAFUTA CHAKA MAPEMA.