Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.

Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.

Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story
Duh kazi kweli kweli
 
Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.

Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.

Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue tu. Nikaingia kwenye group la intake yetu mwaka huo, nikawa nachungulia dp za watoto wazuri then

USINIULIZE KUHUSU UMRI WANGU
Nirishie namba yake pm
Mi najua wew na iko kidada mpo SUA.. Nshaelewa raman
 
Huyo mtoto usimuache bila kumpelekea Moto kisawa sawa halafu ndio umuache atakuheshimu ila usipomla atakusumbua sana,ila kumbuka condom
 
Back
Top Bottom