Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

kama umesoma vizuri, NIMESEMA sikutaka kumla na SITOMLA sababu hakuwa kwenye mawindo pia, simuamini sababu kila mara anaumwa umwa.
Mle tu, mwanaume unagwaya nini...ile kuumwaumwa ni ili akupige mizinga na aone unamjali kiasi gani...bado hujawajua mabinti wewe
 
Mle tu, mwanaume unagwaya nini...ile kuumwaumwa ni ili akupige mizinga na aone unamjali kiasi gani...bado hujawajua mabinti wewe
Kaka sio masihara wala nini, binti ni mgonjwa mara atokwe na damu sehemu za Siri, hadi sasa hela yangu niliompa ukiachana na zawadi ambazo hazizidi elfu tano, hela niliompa mkononi ni elfu tano tu tena aliomba nimkope
 
Mwambie umepima hivi karibuni imegundulika una UKIMWI.

Hii mbinu ninayokupa ole wako huyo dada apite maeneo haya ya JF, halafu mbaya zaidi awe ni mmoja ya wana JF, mbona utalijua jiji
 
Mwambie umepima hivi karibuni imegundulika una UKIMWI.

Hii mbinu ninayokupa ole wako huyo dada apite maeneo haya ya JF, halafu mbaya zaidi awe ni mmoja ya wana JF, mbona utalijua jiji
Hapana sio mdau wa JF kabisaa mkuu
 
Back
Top Bottom