Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

kama umesoma vizuri, NIMESEMA sikutaka kumla na SITOMLA sababu hakuwa kwenye mawindo pia, simuamini sababu kila mara anaumwa umwa.
Huyo sio anaumwa hapana sema amekujua ya kwamba wewe huwa unatoa Sana zawadi kipindi cha magonjwa yake ndio maana anaumwa Kira wakati.....😂😂😂😂😂😂
 
kiufupi haijui kabisa hata inaonekanaje though kuna siku nshawai mgusia kuhusu JF lakini hakuonesha interest kabisa.
Fanyia kazi mbinu niliyokupa, mwambie leo ni siku ya pili tokea upewe majibu hayo, na sasa hivi unahisi kuchanganyikiwa na msongo wa mawazo umekuelemea
 
Hupendwi, anapendwa boom. Halafu anajua huna mke.

Ukikua utaelewa mambo yanavyoenda. Wanawake wanakua kiakili na kiuzoefu mapema sana.

Huko vyuoni wakati ww unafikiri unamdanganya yeye alicheza hiyo michezo na watu wazima wenye 50+ na wenye familia zao.
 
Huyo sio anaumwa hapana sema amekujua ya kwamba wewe huwa unatoa Sana zawadi kipindi cha magonjwa yake ndio maana anaumwa Kira wakati.....
ahahahaa daah kaka, nishauri sasa nafanyaje hapa
 
Hupendwi, anapendwa boom. Halafu anajua huna mke.

Ukikua utaelewa mambo yanavyoenda. Wanawake wanakua kiakili na kiuzoefu mapema sana.

Huko vyuoni wakati ww unafikiri unamdanganya yeye anacheza hiyo michezo na watu wazima wenye 50+ na wenye familia zao.
Bora asinipende, mie sina shida na kupendwa nae na kuhusu pesa kwa mtoto wa kiume kama mimi sio big deal pesa zinatafutwa tu
 
Bora asinipende, mie sina shida na kupendwa nae na kuhusu pesa kwa mtoto wa kiume kama mimi sio big deal pesa zinatafutwa tu
Sasa usifanye maigizo utapoteza wewe maana huyo inawezekana anajua kuliko wewe na uzoefu anao. Kama unamtaka malizana nae endelea na masomo, kama humtaki mwambie moja kwa moja uendelee na masomo. Achana na maigizo na texts zisizoisha.
 
POA kaka nitampotezea tu sina nacho taka kwake
 
aaah atanitangaza yulee
emoji23.png
Unafagilia eee.....
 
Sasa usifanye maigizo utapoteza wewe maana huyo inawezekana anajua kuliko wewe na uzoefu anao. Kama unamtaka malizana nae endelea na masomo, kama humtaki mwambie moja kwa moja uendelee na masomo. Achana na maigizo na texts zisizoisha.
afu pia kaka yule ni mdogo kwangu kiumri sio hawa WA plate number C ye ni D za katikati
 
Back
Top Bottom