Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,591
2,000
Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.

Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.
Ulitaka mtu wa kuchat tu, kwanini usingetafuta mwanaume, kwa nini uliangalia wenye sura nzuri, kwa nini ulihisi umeingia cha kike baada ya kukutana naye? Nia ilikuwa ni kuchat tu?
 

The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
980
1,000
Ulitaka mtu wa kuchat tu, kwanini usingetafuta mwanaume, kwa nini uliangalia wenye sura nzuri, kwa nini ulihisi umeingia cha kike baada ya kukutana naye? Nia ilikuwa ni kuchat tu?
Kaka mwenyewe unajua men huwa hatuna story ndefu eti tukae tuchat tu tofaut na hawa wenzetu.

Hizi ni preference tu za watu ambao nimeona wamenivutia coz wengine wameweka cartoon so hujui unachat na nan.

Nliingia chakike sababu nlichoweka akilini mwangu ni tofauti na nlichoona
 

mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
23,176
2,000
Mahusiano hianzia hivohivo kawaida kawaida mara utani utani utani aaahhhh! Mkule tu si kajiletaaaaa
 

The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
980
1,000
Wewe makali-0 kweli, sasa mtu humpendi kwa nini uendekeze mazoea ya kijinga hivyo? Au unamtaka? Shame!
Tulishazinguana baada ya kumchana ukwweli huu ni mwezi wa 6 sasa, na hajawahi nitafuta wala mie kumtafuta ,juzi Niko mishe mishe nakutana nae Yuko na jamaa mwingine akanipa hi akasepa
 

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
928
1,000
Nilitaka nikusihii soma kwa bidii ,nikakumbuka nilisoma sana now nasugua gaga, anyway fata kile roho inapenda kama anatafuna boom lako nawewe mtafune tu.

Ila kama humpendi kutoka moyoni piga chini halafu upunguze mazoea ,ikibidi utafute mtoto mkalii utoke nae, hii itakusaidia kumpotezea usikae single
Ulisoma CeET(ipo UDSM) mkuu? Au ni mwana art mwenzangu?
 

Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
1,093
2,000
Ulisoma CeET(ipo UDSM) mkuu? Au ni mwana art mwenzangu?
Karibu Coict ndugu
Screenshot_20211101-151533_Samsung%20Internet.jpg
 

Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
1,093
2,000
Hongera kaka, ila kama ni masuala ya computer si unaweza hata kujiajiri? Mbona bando unapata la kuingia JF? Si umejiajiri kwenye computer? Anayetakiwa kulalamika ni yule aliyesoma kozi ambazo si rahisi kujiajiri.
Karibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom