Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
Mkabidhi Kwa YESU kwani huna utakaloweza kumfanya mwanadamu aridhike utakavyo! Utaambulia stress tu!
 
Kwani ni lazima aolewe?..

Hebu acheni ulimbukeni kuhusu ndoa unadhani ni elimu hiyo kwamba utalipa pesa tu mtoto anaenda kusoma.😃😃😃
 
Japo mimi sio kijana lakini hiyo namba 1,imenifikisha mbali sana.Hivyo nashauri vijana waijaribu itawafaa.
 
Haya ndo matatizo ya Sera za usawa wa jinsia...
Upande mmoja mnataka usawa..
Halafu upande mwingine mnataka wanaume wabebe mzigo wote...
Chagueni kimoja...
Mkitaka usawa na Haki Sawa basi na gharama zake mbebe..
Au mkubali mwanaume awe mwanaume africanyway agharamie kila kitu....na asiulizwe ulizwe kama mahusiano ya kizungu yanayotaka usawa...
Chief umeongea point sana wanataka usawa huku wanalilia hawawezi kujimudu kiuchumi ndo mambo ya sela za nyerere ujamaa na kujitegemea na wakati nchi ingali bado masikini wakutupwa
 
Usiongee mengi sana kabla binti yako hajaweza kuitunza bikira yake hadi atakapoolewa.
 
We ni wa kike au wa kiume? Huu ushauri wa hovyo sana.
Huu ndiyo ukweli kwenye ulimwengu wa sasa suala la binti kuolewa au kutokuolewa inabidi lichukuliwe kuwa jambo la kawaida tu tena kama bahati tu.

Maana ukitaka kuliweka kama kipaumbele kwako au kwa mwanao huchelewi kujiua au kujidhuru na pia kumsababishia mwanao msongo wa mawazo.

Hebu acha suala la ndoa libaki kwa wale watakaobahatika na kama hakupata mume au mke basi mtu asinyanyapaliwe kama siyo kutafutiwa mume au mke ulimwengu umebadilika lazima tuendane nao.
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
Hapo mtaolewa wote na mwanaume mmoja. Kama unasema wanaume bahili. Unapenda pesa sasa hapo NAKUHAKIKISHIA MTAOLEWA WOTE.
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
Kutana na binti mwenyewe
255752335341_status_2e27a666390c449080b61adb1e5f424d.jpg
 
Back
Top Bottom