Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,211
Reaction score
41,787
Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi

Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika

Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa

Target yaweza kuwa khamenei

Nina uhakika

Hafiki week mbili mbele

Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya

R.I.P Khamenei in advance

Britanicca
 
Screenshot_20250613-065557.jpg
 
Wamemtafuta muda mrefu, wamepata sababu
 
Succesor alikuwa anatajwa ni mwanae, lakin kuonfokewa kwake kutaifanya iran ijitifakar upya
Iran haina political struggle kama Netanyhulu anayepigania uchaguzi ..Hao viongozi walioliwa juzi basi successors wao wamecovee seat
..Nchi za kifalme na zenye uongozi kama iran sio rahisi kubadilisha mfumo kwa sababu successor anajulikana ,huyo mwenyewe hapo yupo baada ya yule aliyekufa kwa tetesi za kuuliwa na Israel.
 
Primary target ya Israel kwa Iran ni kwenye kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi sidhani kama watahangaika na mtu ambaye mwisho wa siku atapatikana mwingine kama huyo...
 
Back
Top Bottom