Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Iran haina political struggle kama Netanyhulu anayepigania uchaguzi ..Hao viongozi walioliwa juzi basi successors wao wamecovee seat
..Nchi za kifalme na zenye uongozi kama iran sio rahisi kubadilisha mfumo kwa sababu successor anajulikana ,huyo mwenyewe hapo yupo baada ya yule aliyekufa kwa tetesi za kuuliwa na Israel.
Iran ilikuwa ya kifalme iran uliisha 1979, na kiongoz wa kifalme wakati huo mohamed rheza pahlavi alipinduliwa na huyu ayatollah khomenei
Since then iran iligeuka kuwa jamuhuri ya kiislam ya iran

Na under mfumo mpya ayatollah ndio kama supreme leader, maana hata rais wa iran lazima wapate baraka zake

Weakness yao ni ayatollah na kizazi chake
 
Bado ni ufalme ule ,Iran inaonesha nguvu yao ambayo lazima waongoze nchi ili kuleta haki sawa kama Mission yao ...Iran hakuwa na tatizo la hapo ila hao jamaa wana imani yao ya kujiona wao ni bora ,wao wataleta haki kwa mataifa yote ....
 
Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi

Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika

Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa

Target yaweza kuwa khamenei

Nina uhakika

Hafiki week mbili mbele

Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya

R.I.P Khamenei in advance

Britanicca
Hakuna mwenye uwezo wa kumuondoa huyo chuma isipokuwa aliyemuumba.
 
Bado ni ufalme ule ,Iran inaonesha nguvu yao ambayo lazima waongoze nchi ili kuleta haki sawa kama Mission yao ...Iran hakuwa na tatizo la hapo ila hao jamaa wana imani yao ya kujiona wao ni bora ,wao wataleta haki kwa mataifa yote ....
Iran si ya kifalme tena, ilikuwa na title nyingine , baada ya mapinduzi ya shah, mwanamfalme na familia yake walihama iran.
Nchi ikaitwa islamic republick of iran, so technicaly iran ya sasa huwez ifananisha na morocco, spain, UK ambazo bado wana mornarch systems

Hakuna nchi ya kifalme ambayo kiongoz wa dini ndio top leader.

na kuitegemea iran ilete haki nchi zingine ni sawasawa na kutegemea mvua jangwani.
Kila nchi ina matatizo yake, kila mtu apambane na yake
 
Nahisi unachanganya hapo , kiongozi mkuu wa England ni kiongozi wa kanisa la Englican ...Sio lazima awe na title ila ufalme ni ile kurithi kutoka kizazi chao.
 
Nadhani wewe ndio unachanganya; jamaa kazungumzia UK wewe unazungumzia England.

By the way wimbo wa taifa la Uingereza context yake ni "God save the King". Kwa muktadha huo mkuu wa nchi ni nani?
 
Nadhani wewe ndio unachanganya; jamaa kazungumzia. UK wewe unazungumzia England.

Unachanganya labda ni majini tu ila Mfumo wa Iran ni pure mfumo wa Kifalme , ambapo mwenye maamuzi makubwa ni kiongozi mmoja.
 
Back
Top Bottom