Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Nashauri Biblia ieditiwe aongezwe Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa ya kitume anayoifanya katita zama zetu.

Iran na Turkey ya Uislamu zisifanikiwe kuwa viranja wa Dunia kwani Sisi Wakristo tutachinjwa kama kuku bila sababu(kwa kosa la kuwa Wakristo).
 
Unachanganya labda ni majini tu ila Mfumo wa Iran ni pure mfumo wa Kifalme , ambapo mwenye maamuzi makubwa ni kiongozi mmoja.
Of course waliondoa ufalme wa kurithi by birth badala yake mahafidhina wa kidini wakajitungia kautaratibu kao kiinimacho fulani ka kuachiana madaraka ila dhana ya ufalme ni almost ile ile!

Walijaribu kuiga succession style ya top leadership ya RC wakachanganya na viji-style fulani fulani ili kuonesha tofauti na kuhadaa umma.
 
Nashauri Biblia ieditiwe aongezwe Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa ya kitume anayoifanya katita zama zetu.

Iran na Turkey ya Uislamu zisifanikiwe kuwa viranja wa Dunia kwani Sisi Wakristo tutachinjwa kama kuku bila sababu(kwa kosa la kuwa Wakristo).
Kuwe na kitabu cha Netanyahu sio? Kiingie agano lipi? La kale au jipya au lianziashwe agano lingine? Liitweje?
 
Jasusi mme shindwa kumuoondoa chura kiziwi sasa mme kimbilia kwenye ulimwengu wa wanaume
 
Huwa namuelewa sana huyo mwamba
Pamoja na Iran kupitishwa kwenye tanuru la moto kwa kila aina ya vikwazo lakini mwamba kasimama imara kabisa na Iran yake

Sipati picha atakua anaishi maisha gani ya kujificha ili wasimuue

Feel sorry for him
 
Nahisi unachanganya hapo , kiongozi mkuu wa England ni kiongozi wa kanisa la Englican ...Sio lazima awe na title ila ufalme ni ile kurithi kutoka kizazi chao.
Correction hamna mfalme au uongozi wa kifalme usio na title
haswa ngazi za juu za maamuzi ya nchi

Else jina la iran lingebakia kama zamani, as of now kuitwa “islamic republick of” tayari linaashiria hata aina ya uongoz si ufalme

At the top anakaa sheikh mkuu (ayatollah), ambae he is not considered mfalme, else even urais wa hiyo nchi ungekuwa haupitii mchakato or else angekuwa anaweka wanae tu
 
Wanaenda kumkata kichwa baada ya kupata kibari
Vitisho vyote vya Iran Israel alikuwa akivifanyia kazi na ndio maana kwenye mashambulizi ya jana ya Iran kwa Israel hayakufanikiwa kwenda hata na mwanasayansi/kamanda wa kijeshi wa ngazi za juu hata mmoja. Iran ijichunguze wapi panapovuja, huenda kuna hujuma/usaliti miongoni mwao
 
Hii mada tulishwahi kujadili Quora miaka kadhaa nyuma ,ule ukweli ni kwamba Ayatollah ni kama mfalme licha ya kudai anachaguliwa na wataalamu wachache ila ni hoja mufilisi ...Iran wanajua anayefuata ni yupo ila Raisi ndiye anatokana na mpango wa Ayatollah pia.
Correction hamna mfalme au uongozi wa kifalme usio na title
haswa ngazi za juu za maamuzi ya nchi

Else jina la iran lingebakia kama zamani, as of now kuitwa “islamic republick of” tayari linaashiria hata aina ya uongoz si ufalme

At the top anakaa sheikh mkuu (ayatollah), ambae he is not considered mfalme, else even urais wa hiyo nchi ungekuwa haupitii mchakato or else angekuwa anaweka wanae tu
 
Israel ni sura tu Ila anaetaka kubadili siasa na maisha ya Wairan ni mataifa ya magharibi na US

Hili linajulikana kama walivyojaribu kupenyeza ushoga Africa na duniani.

Mtaelewa tu nani yuko nyuma ya haya.
Israel ni chambo tu kawekwa hapo
Iran ni tishio kwa Waarabu na sio myahudi
 
Atakufa ila tambua kuna successor wake ,wairan wanampenda sana huyu mzee ule ukweli kabisa.
Sio kweli........sawa na huko nyumbani kwamba wote wanampenda chura kiziwi........ni wale wanufaika naye tu ndio wanaompenda na si vinginevyo
 
Israel ni sura tu Ila anaetaka kubadili siasa na maisha ya Wairan ni mataifa ya magharibi na US

Hili linajulikana kama walivyojaribu kupenyeza ushoga Africa na duniani.

Mtaelewa tu nani yuko nyuma ya haya.
Israel ni chambo tu kawekwa hapo
Iran ni tishio kwa Waarabu na sio myahudi
Walivyojaribu kupenyeza ushoga? TUSIWE WANAFIKI Ushoga kama tabia zingine za wizi uongo tamaa nk zimekuwepo kila mahali dunia hii.....Kwa miaka yote jamii hujifanya kupuuzia kwamba hakuna ushoga tofauti na tabia zingine mbaya Ambazo hukemewa hadharani.....
Mfano,

Queen Nzinga of Ndongo and Matamba surrounded herself with young men who dressed as women and were considered her wives.

hii ilikuwa Angola kabla ya wazungu.
Ongeza maarifa kwa kujisomea sana kuliko propaganda

HII ILIKUA ZANZIBAR
Haberlandt’s 1899 article on Zanzibar, for example, is concerned with distinguishing inborn (angeborne) “contrariness” (a psychological condition rather than an act, like sodomy) from that which is “acquired” (erworbene). One of the preoccupations of medical-psychiatric discourse at this time was reconciling an older theory of homosexuality as acquired (through degeneracy, which was conceived simultaneously as a failure of morality and physiology, a favored 19th-century explanation for both group and individual behavior) and the newer theory of homosexuality as an inborn orientation.

HAPA CAMEROON
Günther Tessman, himself a repressed homosexual (Klockmann 1985), argues similarly in his 1921 article (translated in part III): The existence of widespread homosexual relationships among the Bafia of Cameroon, he suggests, supports the conclusion that “homosexual desires are firmly established in human nature” (Tessman 1921).


UKIPATA MUDA ANGALIA SERIKALI ZA KIKOLONI ZILIFANYA JITIHADA GANI KISHERIA KUDHIBITI USHOGA WALIOUKUTA KATIKA MAKOLONI YAO


NB: SIUNGI MKONO USHOGA, WALA UNAFIKI WA WANAOUCHUKIA.
 
Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi

Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika

Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa

Target yaweza kuwa khamenei

Nina uhakika

Hafiki week mbili mbele


Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya

R.I.P Khamenei in advance

Britanicca
Lakini dhamira ya wairan haiwezi kufa
 
Atakufa ila tambua kuna successor wake ,wairan wanampenda sana huyu mzee ule ukweli kabisa.
Serikali ya ma Ayatollah ndio inafika mwisho

Hapendwi mara ya kwanza ilikuwa nusura wanawake wampindue kwa kushinikiza kuwa wanawake waislamu lazima wavae hijabu.Akauawa msichana mmoja na askari wa dini kwa kutovaa hijabu

Maandamano yakalipuka nchi nzima kutaka Ayatollah aondoke akaondoa askari wa dini na wanawake sasa hivi Iran wanavaa watakavyo ni hiari yao
Sasa hivi anaenda kupinduliwa.na hakuna Ayatollah tena atarudi
 
Back
Top Bottom