Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi

Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika

Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa

Target yaweza kuwa khamenei

Nina uhakika

Hafiki week mbili mbele


Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya

R.I.P Khamenei in advance

Britanicca
Hivi mfalme ama malkia wa Uingereza akifa Uingereza ina paranganyika? Khamenei ni spiritual leader tu tena mzee ana miaka 86.

Nguvu ya Iran ni raia wake, jamaa wapo smart, wamesoma na wanaweza kujitegemea na kutengeneza kila kitu chao. Maraisi wao wanapanda hadi daladala, kifupi wapo tofauti na watu wengi Duniani.

There is a reason why Netanyahu kila siku akiongea kupigana na Iran anazungumzia Hollywood, maana anajua kuwapiga Iran inabidi uwahadae waache culture yao na kufuta ushenzi wa wazungu.
 
Serikali ya ma Ayatollah ndio inafika mwisho

Hapendwi mara ya kwanza ilikuwa nusura wanawake wampindue kwa kushinikiza kuwa wanawake waislamu lazima wavae hijabu.Akauawa msichana mmoja na askari wa dini kwa kutovaa hijabu

Maandamano yakalipuka nchi nzima kutaka Ayatollah aondoke akaondoa askari wa dini na wanawake sasa hivi Iran wanavaa watakavyo ni hiari yao
Sasa hivi anaenda kupinduliwa.na hakuna Ayatollah tena atarudi
Hizo ni propaganda hazina uhalisia😅 umenoa Maandamno huko USA yakirushwa kwenye media kubwa?

Iran hawana mfumo wa siasa tangu awali ni ufalme tu .Hawana mambo ya siasa ,wale wanaharakati ni pandikizi la US .
 
Kumbe na wewe ni kobaz.... sio bure akili yako ni hovyo hata kwenye siasa za nyumbani
Screenshot_20250605_214546_Quora.jpg
 
Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi

Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika

Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa

Target yaweza kuwa khamenei

Nina uhakika

Hafiki week mbili mbele


Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya

R.I.P Khamenei in advance

Britanicca
Done
Allah alitoa, Netanyahu/Trump wametwaa
Jina la Trump/Netanyahu yaheshimiwe
 
Back
Top Bottom