Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi

Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika

Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa

Target yaweza kuwa khamenei

Nina uhakika

Hafiki week mbili mbele


Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na Marekani pale kati
Makombora mengi yangetua Tel Aviv japo yapo yaliyopenya

R.I.P Khamenei in advance

Britanicca
uliona mbali, yamemkuta !
 
Hizo ni propaganda hazina uhalisia😅 umenoa Maandamno huko USA yakirushwa kwenye media kubwa?

Iran hawana mfumo wa siasa tangu awali ni ufalme tu .Hawana mambo ya siasa ,wale wanaharakati ni pandikizi la US .
Iran haijajengwa kwenye mfumo wa Islamic
 
Kafa lakini Israel inateketea na USA imepoteza uwekezaji wake mashariki ya kati.
Kumuua Khamenei kulikua ni kosa kubwa. Kila anaejulikana kama mwanajeshi wa USA middle east hana amani.
 
Back
Top Bottom