Namuombea Msamaha DC Magoti kwa Watanzania wote

Huyo kiwete hata mke anasaidiwa Hana kitu
Mke amefuata hela na sio kumpenda
 
Sijui stractural engineer gani alim-design magoti jamaa alifeli sana kwenye designing
 
Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma!

Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo ya siasa tena.

Dc Magoti jifunze kwa hili, watu wamedata hawajali kuhusu kukufuru Mungu wala nini, kuna comment nimezisoma mpaka nikakuonea huruma mzee.

Soma Pia:GE2025 - DC Magoti: Kama unataka kuzeeka ukiwa Kiwete andamana, ntawapiga mpaka Sura iwe kama Nyama Choma ya Porini
Shida ya madaraka ya kulevya kama kwa maboss zake vile vile.Hapa ndiyo ile maana yatoto ya nyoka nyoka haiwezekani kuwa njusi!
 
Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma!

Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo ya siasa tena.

Dc Magoti jifunze kwa hili, watu wamedata hawajali kuhusu kukufuru Mungu wala nini, kuna comment nimezisoma mpaka nikakuonea huruma mzee.

Soma Pia:GE2025 - DC Magoti: Kama unataka kuzeeka ukiwa Kiwete andamana, ntawapiga mpaka Sura iwe kama Nyama Choma ya Porini
Asichokijua huyo magoti Hawa wanaomshambulia ni kundi la kwanza kuna kundi la pili limehifadhi maneno linasubiri majibu yake baada ya hili tukio
 
Mwambie kwanza aende ukurasa wa sativa akasome komenti za wananchi Anaweza akajinyonga maana watu wameua huko😀😀😀
 
Back
Top Bottom