dc magoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kiluvya madukani (Makurunge) hatulali kutokana na kelele kubwa ya bar ya REDOMAX

    Mh Mkuu wa wilaya na mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa Pwani najua huko kwenu mnalala usingizi ila sisi wana makurunge hatulali kutokana ka kelele za mitetemo kutoka kwenye bar ya REDOMAX. Tuna wagonjwa , wengine tunelitumikia taifa wiki nzima na tunahitaji akili yetu ipumzike ili Jumatatu...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Ujambazi umeanza tena Kisarawe je IGP na DC Magoti wanawasidiaje waathiriwa na je ni polisi wanahusika ?

    Kwako mh Rais wangu na IGP wetu na DC Magoti je ujambazi umeanza tena kwa mfumo wa ndani ya jeshi la polisi? Jana saa nne na nusu za usiku hapa makurunge kiluvya kisarawe kumetokea tukio la ujambazi kwenye bar nne tofauti watu hao ambao mmoja wao alikuwa amevalia mavazi ya polisi na redio call...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Magoti: Wanaume wanaolaumu Wake zao na kulalamikia wanawake sio Wanaume waliokamilika

    Hamjambo! 1. Dc Magoti japokuwa anapenda kuongea kwa misifa, majigambo, na kidogo utani Jambo ambalo wakati mwingine anatoaga Boko. Round hii ninaungana naye kwenye hoja yake hii; 2. Mamlaka hailalamiki. Mamlaka inayolalamika hiyo sio mamlaka. 3. Kauli hiyo ameitoa huku akiwahusisha Wanaume...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Magoti anasema tusicheze na serikali, serikali ni kitu kingine! Tunawaambia vitisho vimefika mwisho

    Wakuu, Wameona safari hii wananchi waharudi nyuma, walichobakiza ni vitisho tu, tutawashughulikia, mara mimi ni amiri jeshi mkuu, mara msithubutu....... lakini unajua nini, sasa yamebaki kuwa maneno tu bila uzito wowote! Watanzania wanataka amani ya kweli inayobebwa na haki, wanataka wezi wote...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha DC Magoti kwa Watanzania wote

    Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma! Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti achafukwa, asema hadhi ya Heche ni kukamatwa na mgambo sio polisi, aahidi kumpelekea moto akigusa Kisarawe

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, kijana mahiri na jasiri Petro Magoti amefunguka mazima. Msikilize.
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DC Magoti asema hakuna wa kuhoji, aagiza waliouziwa eneo la serikali wajisalimishe

    Wananchi wa Kijiji cha Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wameiomba Serikali iingilie kati mgogoro wa ardhi uliopo na watu kupata vitisho na kujeruhiwa mara kwa mara sababu kubwa ikiwa ni kuuziwa ardhi eneo la Serikali. Wameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bw. Petro Magoti...
Back
Top Bottom