comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,447
- 11,505
Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma!
Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo ya siasa tena.
Dc Magoti jifunze kwa hili, watu wamedata hawajali kuhusu kukufuru Mungu wala nini, kuna comment nimezisoma mpaka nikakuonea huruma mzee.
Soma Pia:GE2025 - DC Magoti: Kama unataka kuzeeka ukiwa Kiwete andamana, ntawapiga mpaka Sura iwe kama Nyama Choma ya Porini