JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
- Thread starter
- #21
Ninahisi baba yako hizo ni tabia za kurithi toka kwa wazazi wake.
Au alishawahi kufanya kazi kama askari jela,
Jengeni urafiki wa karibu na marafiki zake watumieni kumueleza.
tatizo marafiki zake ni wale wasiokuwa na msaada, wao ndo wenye shida, kumshauri tofauti na anavyotaka labda unataka ushinde njaa.