Namtaka lakini mimi sio level yake

Namtaka lakini mimi sio level yake

Promethazine

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
262
Reaction score
260
Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.

Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).

Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki

1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.

2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.

3.Hana mizinga katulia tuli

Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku

Wajuvi wa hii sekta kujeni

Cc Gudume
 
Endelea kumtamani alafu cheza game (pambana) siku ukifikia level yake fanya mambo
 
Aisee hiki kisanga kimenitokea pia.

Ngoja nivute sturi nichukue madin hapa..
 
Mkuu hizo levo zangu,niuzie hyo kesi mimi ndo wakili na mimi ndo jaji halafu uone!!
 
Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.

Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).

Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki

1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.

2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.

3.Hana mizinga katulia tuli

Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku

Wajuvi wa hii sekta kujeni

Cc Gudume
Nipe namba mkuu .nikusaidie kumshawishi akukubali.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom