Namtaka lakini mimi sio level yake

Namtaka lakini mimi sio level yake

Mkuu wewe ni Mwanaume, usikate tamaa...

Inawezekana kabisa huyo Mwanamke akawa na uwezo mkubwa lakini hana madharau na ndio maana akakutafuta hewani bila kukudanganya.

Halafu unasemaje

"Inaonekana ana mtu mzito" na wakati yeye hajakuambia hilo na wala hujamuuliza?

Wanawake wanatofautiana na si wote wapo expensive kihivyo...jitahidi uonane naye na kama akikuambia ana mtu wake (tena awe Mume wake) si basi unampotezea tu.
 
Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku

Wajuvi wa hii sekta kujeni

Cc Gudume
Aiseee
 
Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.

Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).

Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki

1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.

2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.

3.Hana mizinga katulia tuli

Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku

Wajuvi wa hii sekta kujeni

Cc Gudume
Kula usawa unaofikia na kuumudu ni kanuni ya kawaida ya ecosystem ndo maana hata mara moja mbuzi hawzi kula kwenye matawi ya juu ambayo ni kimo cha twiga,kadhalika twiga ni nadra kula majani ya chini...ushauri wangu ni fanya lile ambalo una uwezo nalo kukwepa fedheha!
 
Oooh.. You remind me those days, nilikutana Na manzi wa dizaini hiyo, friends wangu walikuwa wana mwita " she is million bitch dollars "nilimpata kwa mbinde kweli baada y kujua kwl nampenda xna, hakika haikuwa rahis kuvua chupi ile ya Alice, can't forget it.
 
Back
Top Bottom