Namtaka lakini mimi sio level yake

Namtaka lakini mimi sio level yake

Chukua hiyo kama motivation....u hastle ili na ww uje uchukue wa level hizo
 
Acha woga. Muombe tu. Kama haifai si atakuambia tu mbali kuwa marafiki? Kama onafaa unaendeleza, maji yakifika shingoni kama anakutoa jasho si unang'atuka tu?

Sometimes tunaogopafa bure tu. Nao ni watu. They also fall in love. Na wakati mwingine tunajishusha thamani tu bila sababu. Be brave, anaweza hata akazimikia courage yako kumpa tongozo laini pamoja na tofauti zenu.
 
Back
Top Bottom