Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
- Thread starter
- #61
Huku kwetu tunalitumia neno hilo tofauti na mnavyolitumia nyie.Unalazimisha lugha usiyoijua.....KACHERO alafu hauna kazi maajabu haya
Ok?
Huku kwetu tunalitumia neno hilo tofauti na mnavyolitumia nyie.Unalazimisha lugha usiyoijua.....KACHERO alafu hauna kazi maajabu haya
Anhaa thanks mkuuMi nikushauri tu utafute mwingine manake umeshasema kuwa ana mtu mzito.
Thanks nimeshaziona daliliNakushauri umpotezee tuu huyo atakusumbua sana
Nothing Imposible Nigger Just Detect her body Language je anakuelewa, then kama u are sure ni wa kishua onnesha mazingira fulani akuone muhuni hapo utakuwa umeua
Anatafuta kufumuliwa marinda2. Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa.
Sasa unaendelea kutafuta nini! Labda kama kakuambia anamwacha huyo jamaa.
Ah kk we usiogope embu Fanya kaz yako , kwan first time ulivyomuona siulitaka kumtokea ? Back we tiririka mistarHabari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.
Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).
Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki
1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.
2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.
3.Hana mizinga katulia tuli
Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku
Wajuvi wa hii sekta kujeni
Cc Gudume