Namtaka lakini mimi sio level yake

Namtaka lakini mimi sio level yake

Maana mie hata kumtinza siwezi .


Hapo tayar umeshakua nadosari kwako.

Take it ,,Kila samak humfaa mvivu ili mradi yupo nyavun.
 
kamwe mwanaume usijikatie tamaa mmeumbwa na nguvu ya ushawishi tema cheche kiustaarabu anaweza kukuelewa hivyo vya levo visikutishe
 
Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.

Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).

Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki

1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.

2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.

3.Hana mizinga katulia tuli

Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku

Wajuvi wa hii sekta kujeni

Cc Gudume
Naona unam-beep Dr shika ww
 
Jiamini tu kama hajaolewa. Jione wewe ndiye level yake.
Hawa viumbe tumeumbiwa sisi wanaume. Sasa unaposema si level yako, basi wewe ni mvulana.
 
Oooh.. You remind me those days, nilikutana Na manzi wa dizaini hiyo, friends wangu walikuwa wana mwita " she is million bitch dollars "nilimpata kwa mbinde kweli baada y kujua kwl nampenda xna, hakika haikuwa rahis kuvua chupi ile ya Alice, can't forget it.
Surely your friends must have meant "a million dollars bitch".
 
Mapenz haytazami matatizo uliyo nayo.....
huend akawa n mkeo kabísa.......
Piga moyo konde Bro....
 
Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.

Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).

Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki

1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.

2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.

3.Hana mizinga katulia tuli

Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku

Wajuvi wa hii sekta kujeni

Cc Gudume
Huyo binti kuwa na nyanii kama wewe sio fair ,nakushauri usimuharibie maisha kwa tamaa zako ,tafuta wa level yako istoshe ushajua anajamaa yake kaa mbali na waombee heri mungu aonaye ya sirini atakuletea anayekufaa ,hayo mambo mazuri ni matokeo ya kazi ngumu alizofanya baba yake hapaswi kuzila na mtoto wa mvivu (babako) ,stay away sisi watoto wa kishua huwa tunauchawi pia huyo ka ni dada yangu nikaona anadate na ww nazama kwa babu nikiona ni true love nakauka nikijua ni hizi mbinu unazoomba hapa naunganisha nota yako na ya mbwa utakuwa unatangatanga maisha yote .
 
2. Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa.

Sasa unaendelea kutafuta nini! Labda kama kakuambia anamwacha huyo jamaa.
asante kidume mwenzangu,hawa wavulana wana mambo sana hivi vyuo si vimeshafungua
 
We subiria nyembe tu tena za uso...Hamna kitu utafanya kwa wadada wa Dar ikiwa unatembea kwa miguu!
 
Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume.

Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba, akasema nipe zako nitaktafuta nikasema ok! Nikatoa namba, japo sikuwa na imani kama atanitafuta, maana simu yangu ilikuwa imezima( sio kimeo ni tanesco).

Lahaula baada ya muda flan akanitafuta maongezi ya hapa na pale kidogo, sasa kinachonitatiza kwa huyu mrembo ni hiki

1. Ni mtoto fulani wa kishua ambaye haijui shida inafananaje, inshort ni slay queen expensive.

2.Anavyoonekana ana mtu tena mzito kabisa sio kijana wa kuunga unga maisha( hajaliweka wazi hili ila kwa uzoefu wangu wa game nimelitambua.

3.Hana mizinga katulia tuli

Sasa wadau hapa hebu nipeni ushauri na techniq nauingiaje maana mimi kachero tu sina kazi maalum yoyote tu nafanya kipato cha kuunga unga, tupeane ushauri nisije kujioverdose maana naona huyu hata kumtunz siwezi asee
Note: nawasiliana ne vizuri tu mpaka sometimes saa6 usiku

Wajuvi wa hii sekta kujeni

Cc Gudume

Unalazimisha lugha usiyoijua.....KACHERO alafu hauna kazi maajabu haya
 
Mi nikushauri tu utafute mwingine manake umeshasema kuwa ana mtu mzito.
 
Back
Top Bottom