cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,386
Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote
Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single mother,wanawazalisha kisha hupotea kukwepa majukumu ya kulea na pia hawatimizi ahadi ya kuoa
Vijana wa kiume kwa asilimia kubwa wanalelewa na mijimama hawataki mahusiano ya kuombwa hela ya matumizi pindi wakiwa na mahusiano na mabinti
Hapa mtaani kwangu kuna mabinti miaka 20 na 22 wanadate na wababa miaka 45+
Hii kitaalam tunaweza kusemaje