PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,151
Ila watu 🤣😂Tuweke rekodi sawa ilikua 7800 mkuu
Na sweta la Tanzania
Ila watu 🤣😂Tuweke rekodi sawa ilikua 7800 mkuu
Na sweta la Tanzania
Watu mnafukua kaburi 😂🤣Chibaba wanatoa 7800 tu Endapo akikutoa mkoani
Ohh hapo sawaNo, mwanaume anaitwa Maghala, na yeye ndo alitanabaishwa kama mwanamke mfupi mweusi, jamaa alimgonga na kumpa hiyo 7,800. Recall mkuu
So means, wakianza kupiga mayowe kwenye 40s tutakua hapa tunawaangalia tu.Huwa wanasema hivyo wakiwa kwenye 20s kwa sababu ya tamaa ya pesa, halafu wakifika kwenye hizo 40s huwa wanabadilika na kuwa supa woman wanaotetea haki za wanawake na kuwachukia age mates wao (wababa) wanaotoka na mabinti wa 20s
Njoo unifunze bibi 😁🤣Sawa tu.
Acha sie tuwafunze hao vijana ukubwa
not only anything but everything for money.A whore will do anything for money.
Kitaalamu inaitwa Chimama wa ChibabaHii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote
Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single mother,wanawazalisha kisha hupotea kukwepa majukumu ya kulea na pia hawatimizi ahadi ya kuoa
Vijana wa kiume kwa asilimia kubwa wanalelewa na mijimama hawataki mahusiano ya kuombwa hela ya matumizi pindi wakiwa na mahusiano na mabinti
Hapa mtaani kwangu kuna mabinti miaka 20 na 22 wanadate na wababa miaka 45+
Hii kitaalam tunaweza kusemaje
ndio yapo mawili nayakanyaga vibaya tangia 2019 watoto wa 2000 sina muda nao kabisa na sitaki mapicha picha na pressure zisizo na maana kwa sasaUna jimama mkuu!?
Hapana,Nilikuwa naaminisha kwamba kahaba ni kahabaAnd panga is panga
ndio yapo mawili nayakanyaga vibaya tangia 2019 watoto wa 2000 sina muda nao kabisa na sitaki mapicha picha na pressure zisizo na maana kwa sasa
Hamsahau wakuu😁😁😁Na mwamba yule sijui nani. Maghala sijui!!!
Eti ni mfupi mweusi alivaa sweta lenye bendera ya Tanzania 😁😁
Vipi wana matako makubwa? Na zile T3 wanazo?ndio yapo mawili nayakanyaga vibaya tangia 2019 watoto wa 2000 sina muda nao kabisa na sitaki mapicha picha na pressure zisizo na maana kwa sasa
Whore not jembeHoe is hoe
Ukiona hivyo ujue bi kizimkazi kakamatia chini.Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini