mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Mnachimbua makaburi sasaKabla ya kuanza kuita hiyo kitaalamu vipi ile yakwako yakusafiri mpaka dar nakupewa buku saba miambili tunaiitaje kitaalamu..??

Mnachimbua makaburi sasaKabla ya kuanza kuita hiyo kitaalamu vipi ile yakwako yakusafiri mpaka dar nakupewa buku saba miambili tunaiitaje kitaalamu..??

ye ya wenzake kashindwa kuyastiri...😅Mnachimbua makaburi sasa![]()
Nimepata pointIpo hivi;
Wanawake wanataka wababa kwasababu kipato cha wababa kipo stable, kwahiyo anakuwa na uhakika wa kutatuliwa shida ndogondogo.
Wanaume(wababa) nao pia wanapenda mabinti wadogo sababu kipato cha hao mabinti kinakuwa bado hakieleweki, so inakuwa rahisi kuwatawala.
Majobless in our 20s tupo kuwasaidia awa wamama wanaokosa mapenzi kutoka kwa wababa wao walio busy na vibinti.
pole lakiniZilipendwa hizo
Na sweta la TanzaniaUlikuwepo?