Namtaka chibaba, sitaki kijana

Namtaka chibaba, sitaki kijana

Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote

Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single mother,wanawazalisha kisha hupotea kukwepa majukumu ya kulea na pia hawatimizi ahadi ya kuoa

Vijana wa kiume kwa asilimia kubwa wanalelewa na mijimama hawataki mahusiano ya kuombwa hela ya matumizi pindi wakiwa na mahusiano na mabinti

Hapa mtaani kwangu kuna mabinti miaka 20 na 22 wanadate na wababa miaka 45+

Hii kitaalam tunaweza kusemaje
Mtoa mada ana body sexy
 
Na malaya na azidi kuwa malaya na mwivi naye hivyohivyo,mda ushaisha huu mwana wa adamu yu karibu kuja
 
Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote

Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single mother,wanawazalisha kisha hupotea kukwepa majukumu ya kulea na pia hawatimizi ahadi ya kuoa

Vijana wa kiume kwa asilimia kubwa wanalelewa na mijimama hawataki mahusiano ya kuombwa hela ya matumizi pindi wakiwa na mahusiano na mabinti

Hapa mtaani kwangu kuna mabinti miaka 20 na 22 wanadate na wababa miaka 45+

Hii kitaalam tunaweza kusemaje
Kitaalam hii inaitwa ''beba vyuma utengengeze six park, mimi nafanya mishe nitengeneze ngawira''
 
Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote

Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single mother,wanawazalisha kisha hupotea kukwepa majukumu ya kulea na pia hawatimizi ahadi ya kuoa

Vijana wa kiume kwa asilimia kubwa wanalelewa na mijimama hawataki mahusiano ya kuombwa hela ya matumizi pindi wakiwa na mahusiano na mabinti

Hapa mtaani kwangu kuna mabinti miaka 20 na 22 wanadate na wababa miaka 45+

Hii kitaalam tunaweza kusemaje
Sisi Wazee tunasema kazi ndogo mshahara mkubwa,ni wewe tu kuamua.
 
Kwa wababa ipo hivyo tangy mwanzo Wala msisingizie eti wababa wa leo!ila Kwa wamama nap vijana wadogo ndio tatizo kuu!!

Nyie wanawake mnataka mserereko was aliekamilisha Kila kitu na hamtaki ku support harakati za kijana mwenzako!
 
Back
Top Bottom