baba yangu ni mjane!
ninamtafutia mke...umri wowote ila miaka 60 na kuendelea atafaa zaidi maana yeye yupo above 70!
naitaji mama wa kumtunza na kumuondolea upweke naona anateseka sana maana watoto wote hatupo nyumbani yupo na kijana wa kazi tu!
hela kila kitu mamamdogo atakachotaka tutampa! ila amtuze tu mzee vizuri!
kama unataka au una mtu just ni pm!
aisee bora nusu shari kuliko shari yenyeweUkipata mama wakaoana kisheria
miezi michache ikapita,baba yako akafa
umewahi fikiria kuhusu 'mirathi itakuwaje'?
mtakubali kumpa mama yenu haki zake?
mtamtunza na yeye?
akipata mume wa kuishi nae kwenye nyumba ya baba yako mtakubali?
ngoja nipunguze masharti tuseme from 45 kwenda juu !
Umejuaje kama hatakataa? Unajuaje kama mashine yake bado inamwaga maji mazito meupe?
mmmmh ngoja nilale mie
baba yangu ni mjane!
ninamtafutia mke...umri wowote ila miaka 60 na kuendelea atafaa zaidi maana yeye yupo above 70!
naitaji mama wa kumtunza na kumuondolea upweke naona anateseka sana maana watoto wote hatupo nyumbani yupo na kijana wa kazi tu!
hela kila kitu mamamdogo atakachotaka tutampa! ila amtuze tu mzee vizuri!
kama unataka au una mtu just ni pm!
Acha tu nafasi adimu hizo