Namtafutia baba yangu mke

Namtafutia baba yangu mke

Halafu umesahau kuwaambia kule mlimani kunae baridi mbaya...sasa mzee inabidi apate chapa mtu kiaina.

Afu nasikia wazee wa kulw kweny baridi maini hayazeeki.....unamkuta wa miaka 90 lakini mkongojo imara kabisa.
 
ujue babu nampenda sana mzee wangu nimetafakari nifanyeje awe na furaha ? nimeona ningepata jimama hivi sema ndo hivo the boss kanifungua macho maana mzee akianza kutangulia huyu mama nae aoe tena hapo home au kumtunza tena na yeye si ni majanga tu!
itabidi nirudi home
Lala tu mdogo wangu...

Hili jukumu ni kazi pevu....

But..tutafika tu...lol!!

Babu DC!!
 
Hivi kwa mfano baba ameacha wosia wa maandishi na huyo mke mpya hajaachiwa chochote na baba kwa maneno yake mwenyewe katamka (kupitia maandishi) warithi wake, huyo mke atakuwa na haki gani hapo?

na akiacha kwa maandishi mke mpya apewe nyumba watoto kina Smile watakubali?
 
Last edited by a moderator:
na akiacha kwa maandishi mke mpya apewe nyumba watoto kina Smile watakubali?
achukue tu nyuma yenyewe ya kijijini nani anaishi bush?kwani na yeye ataishi milele bwana ???? ataishi hapo na yeye akirest in peace si kunabakia kwetu tu?
 
Ndiyo, maana wosia si ndo matakwa ya marehemu, au siyo?

Sasa kama ndiyo matakwa ya marehemu nyie wengine mna mamlaka gani ya kumpinga jinsi ambavyo yeye alitaka mali zake zigaiwe?

Okay, tuseme wosia unasema bayana kabisa bila ambiguity yoyote ile jinsi ambavyo umeuliza/eleza wewe....hata wakienda mahakamani, unadhani mahakama itautengua huo wosia? Hapa tuchukulie huo wosia ni halali kabisa.....yaani unakidhi vigezo vyote vya sheria husika.
 
ujue babu nampenda sana mzee wangu nimetafakari nifanyeje awe na furaha ? nimeona ningepata jimama hivi sema ndo hivo the boss kanifungua macho maana mzee akianza kutangulia huyu mama nae aoe tena hapo home au kumtunza tena na yeye si ni majanga tu!
itabidi nirudi home

Kama macho yake hayaoni, kwa nini usimsaidie kumpeleka CCBRT???

Nadhani unakotaka kumpeleka siko....

Babu DC!!
 
Ndiyo, maana wosia si ndo matakwa ya marehemu, au siyo?

Sasa kama ndiyo matakwa ya marehemu nyie wengine mna mamlaka gani ya kumpinga jinsi ambavyo yeye alitaka mali zake zigaiwe?

Okay, tuseme wosia unasema bayana kabisa bila ambiguity yoyote ile jinsi ambavyo umeuliza/eleza wewe....hata wakienda mahakamani, unadhani mahakama itautengua huo wosia? Hapa tuchukulie huo wosia ni halali kabisa.....yaani unakidhi vigezo vyote vya sheria husika.

Bahati nzuri Waafrika tuna mahakama zetu za asili....

Kuna jamaa yangu wa Ukerewe alikuwa ananitishia kuwa nikimpita darasani basi nisiende kuoga mtoni, kwani mamba wa baba yake atanifanyia kitu mbaya...

Babu DC!!
 
Kwa post hii nimekupenda bure, ningekuwa tu ..., hakika ningekuoa kabisa.

achukue tu nyuma yenyewe ya kijijini nani anaishi bush?kwani na yeye ataishi milele bwana ???? ataishi hapo na yeye akirest in peace si kunabakia kwetu tu?
 
Ha ha ha, ila inaleta raha sana binti kuamua kumtongozea mzee, so funny and interesting.

Ila una point, wazee hawa hawafai kukaa peke yao. Wakipatikana candidate wengi, itisha interview na yeye mwenyewe akiwepo. Ni vizuri ungesea kabisa, watakaofikiriwa zaidi ni wale wa Kilimanjaro, wasijeh) wakajitokeza wa Ntwara mkalishwa samaki nchanga uzeeni bure🙂
 
ujue babu nampenda sana mzee wangu nimetafakari nifanyeje awe na furaha ? nimeona ningepata jimama hivi sema ndo hivo the boss kanifungua macho maana mzee akianza kutangulia huyu mama nae aoe tena hapo home au kumtunza tena na yeye si ni majanga tu!
itabidi nirudi home

Jingine la kujiuliza mdogo wangu.....je? Furaha ya baba kwa sasa ni mwanamke? Je, mkimtafutia wasipo weza kuendana je? Huoni km mtamuongezea baba huzuni.

Kabla ya kumuamulia baba nini cha kufanya katika maisha haya ya upweke..mshirikisheni kwanza kwa kila mnalofikiria juu yake. Itasaidia.

Mama yangu ni mjame mwaka wa 7 sasa, kuna wakati tulikuwa tunamchomekea kiaina kuona km anahitaji mwenza hasa pale tulipokuwa tumamuona km anakosa furaha.

Ilikuwa straight forward, hakuhitaji..alituomba tumpe peace of mind, na tumlee vema baasi.

Naishi naye, tunajitahidi kumlea na kunfanyia vile anavyovipenda, anakaribia kugonga 70 lakini ana nuru kubwa.

Mume/mke kwa wajane/wagane si suluhisho la mwisho kuleta furaha kwao baada ya kupoteza wenzi wao, kuna mengi mengine yanayoweza kuwapa peace of mind
 
Ha ha ha, ila inaleta raha sana binti kuamua kumtongozea mzee, so funny and interesting.

Ila una point, wazee hawa hawafai kukaa peke yao. Wakipatikana candidate wengi, itisha interview na yeye mwenyewe akiwepo. Ni vizuri ungesea kabisa, watakaofikiriwa zaidi ni wale wa Kilimanjaro, wasijeh) wakajitokeza wa Ntwara mkalishwa samaki nchanga uzeeni bure🙂

haaahaa.. smile leo kaamua kutuongezea siku za kuish
 
Back
Top Bottom