tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
Nna rafiki yangu mama yake alifariki tukiwa first year na yy ndo first born so she was 21...mm yao aliwaachia kitoto kina miezi kadhaa..yani baada tu ya kifo ht mwaka haukuisha mdingi akavuta kibint age sawa na rafiki yangu....aliumia saanaa chuoni full mawazo..uchungu wa mm bado anao na bado hasira za maza mpya ambaye ni age yake na alimchukia bb yake nomaa...yule maza wake alitegesha mtoto fasta ila bahati mbaya kalifariki ..sijui km kazaa tena...aliwaza kwann huyu avutwe ndani muda mfupi baada ya mama yke kufariki...alifikiria mengi....mwacheni mdingi aishi maisha yake km hajawaomba mumtafutie mke otherwise mtajuuta