Namtafutia baba yangu mke

Namtafutia baba yangu mke

Last edited by a moderator:
unachotaka kukifanya kitamsononesha sana mama yako. (r.i.p) huko aliko.
Smile kwa hili umefikiria chini ya kiwango!!
 
Last edited by a moderator:
wewe hebu maliza chuo kwanza, na upunguze kupenda vya wakubwa! hapa tulipo tumeshakandamiza mahari ya Mwita Maranya sasa akigeuza kibao sijui tutalipa nini!

Nimelia sana nilivyoona comment yako kaka GreenCity......me nikipata matatizo kwa wakurya utashindwa kulipa mahari yake,ntafia huko mie kweli.
Sina jins bora mrudishe mahari mapema,nimeamua kwenda kwa huyu baba!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimelia sana nilivyoona comment yako kaka GreenCity......me nikipata matatizo kwa wakurya utashindwa kulipa mahari yake,ntafia huko mie kweli.
Sina jins bora mrudishe mahari mapema,nimeamua kwenda kwa huyu baba!!!!
kweli ujana maji ya moto! haya mwambie shemeji Mwita Maranya sie huku hatuna hizo ng'ombe 20 alizotupa badala yake nitakuwa ninamu-EMpESA na KUM-TIGOpESA au KUM-EATELI MANE taratibu hadi nimalize deni lake! ila muulize kama anakubali kuuachia mzigo wa kinyaki!
 
Kulonda nfwile nndisu .....keta linga tufwile inongwa sikuja nyingi pakuti mwana jhula alina mahala fijo????
Jitahidini jamani!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, ila inaleta raha sana binti kuamua kumtongozea mzee, so funny and interesting.

Ila una point, wazee hawa hawafai kukaa peke yao. Wakipatikana candidate wengi, itisha interview na yeye mwenyewe akiwepo. Ni vizuri ungesea kabisa, watakaofikiriwa zaidi ni wale wa Kilimanjaro, wasijeh) wakajitokeza wa Ntwara mkalishwa samaki nchanga uzeeni bure🙂
ahahaaaaa dah asije akaanza kuogeshwa na iliki
 
ooohhh duh kwani nyamayao huna mama dear?
ila na huyo mdada alikuwa mdogo sana bwana loh

nina mama lakini alitelekezwa na wanae, so hizo habari za baba tunafanya kuzisikia tu, leo kaoa huyu kesho kaoa yule, mpaka alivyoingia mikononi mwa mdada, imagine mzee wa 68yrs unaachiwa mtoto mwenyewe ulee, na huyo dada nasikia hajageuka nyuma kuanzia amuache,nani anamsaidia hayo malezi na watoto wake nasikia wametapanyika kila kona za miji, ndio sasa anatamani kutuunganisha hakuna anaetaka kuunganika, Smile, muache mzee usimtie majaribuni kabisa, muache atafute mwenyewe kwa wakati wake jamani, alikuambia anajhisi mpweke au wewe hisia zako tu? btw wanasema ng'ombe hazeeki maini, kama mzee ana chochote na nyie mkampa hii pressure ya kutaka kumfariji madai yenu mpweke akiwaletea rika lako je? muache mzee acheze ball lake la kizee taratiiib kitaeeweka tu, nyie kaeni mkao wa kuja kutambulishwa tu.
 
Kweli hiki ni kizazi cha Dot com, kinakataa wazazi kuwachagulia wenza lakini kinataka kuwatafutia wazazi wenza! Dunia ya mabadiriko, nimeipenda hi style hakika, anyway, swali la kizushi, mshua anajua kua mwanae anamtafutia mke?
 
teh acha maswali we leta mtu kama unae bwana
 
Hii kwa mila za kule kwetu haliwezekani kabisa na sijawahi kusikia. Yaani binti amtafutie baba yake mzazi mke????? Mmh? Aah ngoja nikae kimya tu.
 
kwani mi ni wangapi? kama tupo 10 na mi wa tisa je?

Kama umezaliwa enzi hizo za watoto lukuki baba atakuwa na 77 na aliwahi kuoa akiwa na miaka 17; tofauti yake na mtoto wa kwanza ni miaka 60 na most probably mama alikuwa anazalishwa mwaka kwa mwaka kwa hiyo hutakosa 50 kama ni mtoto wa 10 na hapo kuna baadhi ya watoto nimewapa space ya miaka miwili na wengine mitatu; baadhi tu lakini.
 
duh sisi first born ni wa mwaka 70 na tumepishana miaka 4 4
 
Back
Top Bottom