akiwa pasua kichwa si tutamtimua bwana! wewe niforwadie tu hao macandidatehapana, hiyo ni kazi ya baba, kama asipopendezwa nae, mwacheni apate wa kupendezwa nae! mbona atawapata tu, naelewa kwamba unam miss mama but kwa hili hapana, unaweza kupata mama pasua kichwa ikawa tabu kabisaa, mzee atoke hapo grocery za jirani japo anywe fanta kitaeleweka tu!
so unataka au?
Ila hiyo kazi ngumu sana, mnaweza kumleta huyo mama mkajuta kwanini mlifanya hivyo. Wengine co wazuri na wanavuruga familia esp. akijua kuna na kaurithi kadogo.....
akiwa pasua kichwa si tutamtimua bwana! wewe niforwadie tu hao macandidate
Bora aisee ukichukulia utakuwa na wewe mrithi wa mali
na atakaejua kuna ka urithi lazima ategeshe mimba japo kwa nguvu!
Ye hajui kutema sumu?
akiwa pasua kichwa si tutamtimua bwana! wewe niforwadie tu hao macandidate
hapo ndio mtammaliza mzee sasa, umtimue wakati yeye ndio kafa/kaoza?
ooohhh duh kwani nyamayao huna mama dear?si unaona ninapokuambia hii kazi muachieni mzee mwenyewe, tena mkimfanya ajione kama mpweke sana anaweza kuwachezea shere kabisa, mie mzee wangu huyo ana miaka 68 nasikia alioa dogo dogo wa 31yrs, ndio alimaliza pesa zote na kamuachia katoto ambako ni kama katukuu pesa zilivyoisha mdada kaolewa na wa rika lake, Smile, tulia!
na atakaejua kuna ka urithi lazima ategeshe mimba japo kwa nguvu!
ndo hivo jombaa kwa nini mzee ateseke bwana! yeye hawezi kumtumikia bwana ni mzee sasaMpwa wangu Smile sidhani kama kuna upendo mkubwa zaidi ya huo, yaani umtafutie mzazi wako kiburudisho!!! Ila nimechanganyikiwa na huo mstari wa Bible kwenye signature yako, hutaki yeye amtumikie Bwana??? Just curiosity
hawajui ujane nini?