Namtafutia baba yangu mke

Namtafutia baba yangu mke

mtafutie HG watajuana wenyewe ukisema mke atakataa au ana kimada chake anaburudika taratibu HG atamchokoza chokoza mwisho inajibu
 
ata hapo poa tu sema tu sitaki mama pasua kichwa !asije leta viserengeti vyake

Wengine pia hawataki viserenget boys coz nao macho utosini kama tochi za mgodini.
Wanataka watulie na hao watu wazima!!!!
 
mi nataka mama mdogo ujue nyumba bila mama bwana! bora hata mama feki utajifariji ila bila bila acha tu!

hapa utapata maswali ya kila aina aise, umejuaje kama baba anahitaji kuoa kwa sasa? mama hatafutwi hivyo ndugu yangu, hiyo ni kazi ya baba nyie atawapa tu taarifa kamili.
 
mtafutie HG watajuana wenyewe ukisema mke atakataa au ana kimada chake anaburudika taratibu HG atamchokoza chokoza mwisho inajibu
kweli ngoja nitafute mmama awe hg watachumbiana wenyewe
 
hapa utapata maswali ya kila aina aise, umejuaje kama baba anahitaji kuoa kwa sasa? mama hatafutwi hivyo ndugu yangu, hiyo ni kazi ya baba nyie atawapa tu taarifa kamili.
akipelekewa mchumba atakubali tutamuomba!
 
Bora ungebaki na kigezo cha above 60 or 50 usije pata wadogo zako wengi tuu
ahaaaa hapo sasa badala ya kulea watoto wangu nilee wadogo itabidi mzee apigwe kwanza vasectomy
 
akipelekewa mchumba atakubali tutamuomba!

hapana, hiyo ni kazi ya baba, kama asipopendezwa nae, mwacheni apate wa kupendezwa nae! mbona atawapata tu, naelewa kwamba unam miss mama but kwa hili hapana, unaweza kupata mama pasua kichwa ikawa tabu kabisaa, mzee atoke hapo grocery za jirani japo anywe fanta kitaeleweka tu!
 
achana nao hao utakula bata hadi basi! harusi yenyewe mimi nashika maua!

Wala usijal......mambo yataenda sawa tu!!!!Teh teh teh tunachakachua thread ujue kama ni serious business.
 
Ila hiyo kazi ngumu sana, mnaweza kumleta huyo mama mkajuta kwanini mlifanya hivyo. Wengine co wazuri na wanavuruga familia esp. akijua kuna na kaurithi kadogo.....
ahaaaa hapo sasa badala ya kulea watoto wangu nilee wadogo itabidi mzee apigwe kwanza vasectomy
 
ahaaaa hapo sasa badala ya kulea watoto wangu nilee wadogo itabidi mzee apigwe kwanza vasectomy

si unaona ninapokuambia hii kazi muachieni mzee mwenyewe, tena mkimfanya ajione kama mpweke sana anaweza kuwachezea shere kabisa, mie mzee wangu huyo ana miaka 68 nasikia alioa dogo dogo wa 31yrs, ndio alimaliza pesa zote na kamuachia katoto ambako ni kama katukuu pesa zilivyoisha mdada kaolewa na wa rika lake, Smile, tulia!
 
Back
Top Bottom