Salaamu wanagreat thinkers, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zitolewazo hapa jukwaan bila ajizi nimeamua nami kujiunga ili nizifaidi kwa kina. me ni mdada mwenye umri wa miaka 27,mrefu mwembamba kiasi,mjasiriamali mwenye elimu ya kidato cha nne pia napenda kujiendeleza panapo nafasi (kifedha zaidi) ni mama wa mtoto 1.nahitaji mume walau asizidi watoto wawili na awe hajawahi kufunga ndoa kama aliwahi kuishi na mwanamke co mbaya.vigezo awe mrefu,
mkristo,asiwe mvuta sigara wala mlevi,awe ameajiri
https://www.jamiiforums.com/newthread.php