Namtafuta Mume mwenye status kama yangu

Namtafuta Mume mwenye status kama yangu

Kwani kazi ya JF ni kuwapatia watu waume au mawazo? Kama hakuna mme basi hakuna mke pia maana vyote hutegemeana.
 
Nimeona kuna tough road ahead of us single mamas, heri wewe una moja siye wenye wawili sijui tutoke vipi
 
best wishes,na2mai utapata hitaji lako,cha msingi kuwa makini kwani kweny msafara wa mamba....some will take an advantage kutaka kukuchezea.
 
salaamu wanagreat thinkers, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zitolewazo hapa jukwaan bila ajizi nimeamua nami kujiunga ili nizifaidi kwa kina. Me ni mdada mwenye umri wa miaka 27,mrefu mwembamba kiasi,mjasiriamali mwenye elimu ya kidato cha nne pia napenda kujiendeleza panapo nafasi (kifedha zaidi) ni mama wa mtoto 1.nahitaji mume walau asizidi watoto wawili na awe hajawahi kufunga ndoa kama aliwahi kuishi na mwanamke co mbaya.vigezo awe mrefu,mkristo,asiwe mvuta sigara wala mlevi,awe ameajiri
https://www.jamiiforums.com/newthread.php

sifa zote ulizotaka ninazo nitafute NA jina langu halisi ndiyo hilohilo situmii pen name
 
yaani hapo kwenye red mi ndio kidogo pana mushkel,mimi ni muislam vipi kuna special consideration au? maana kwingine kote ni kama nafiti ila mtiti upo hapo tu. kama vipi ni pm.

vigezo na masharti kuzingatiwa tafadhali...
 
kila la heri bidada, kumbuka kumshirikisha Mwenyezi Mungu ktk hitaji lako. kuwa makini shost...
 
Ninazo sifa hizo unazotaka, na pia hata mimi ninatafuta na nimeshajitangaza humu jamvini. Ni-pm tuendelee.
 
Back
Top Bottom