Namtafuta Mume mwenye status kama yangu

Salaamu wanagreat thinkers, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zitolewazo hapa jukwaan bila ajizi nimeamua nami kujiunga ili nizifaidi kwa kina. me ni mdada mwenye umri wa miaka 27,mrefu mwembamba kiasi,mjasiriamali mwenye elimu ya kidato cha nne pia napenda kujiendeleza panapo nafasi (kifedha zaidi) ni mama wa mtoto 1.nahitaji mume walau asizidi watoto wawili na awe hajawahi kufunga ndoa kama aliwahi kuishi na mwanamke co mbaya.vigezo awe mrefu,mkristo,asiwe mvuta sigara wala mlevi,awe ameajiri
https://www.jamiiforums.com/newthread.php
Mimi kama Matola nina sifa zote unazozitaka ila hapo kwenye Red naona utanikosa kwa hicho kikwazo maana mimi sijaajili na wala sijaajiliwa. think loud!!
 
jmn samahan natumia cm ya mchina. nlikuwa ninamaanisha awe ameajiriwa ama amejiajiri.
 
Mimi kama Matola nina sifa zote unazozitaka ila hapo kwenye Red naona utanikosa kwa hicho kikwazo maana mimi sijaajili na wala sijaajiliwa. think loud!!

pole,natumia kicm cha mchina naona ujumbe umefka nusu nusu. nlikuwa namaanisha awe ameajiriwa ama amejiajiri!
 
jmn samahan natumia cm ya mchina. nlikuwa ninamaanisha awe ameajiriwa ama amejiajiri.
Kuwa na Elimu ya kidato cha nne hakukufanyi usiwe na common sense!!.......tumia lugha kwamba unahitaji mwenye kipato halali, na wewe ni vizuri ungeeleza kama umeajiliwa au umejiajili, hii inaitwa check & balance mechanism.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom