Namtafuta Mume mwenye status kama yangu

Nimekosa sifa ....nimeajiri watu.naishi Botswana ..na nakuwa tz muda mwingi
 
Salaamu wanagreat thinkers, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zitolewazo hapa jukwaan bila ajizi nimeamua nami kujiunga ili nizifaidi kwa kina. me ni mdada mwenye umri wa miaka 27,mrefu mwembamba kiasi,mjasiriamali mwenye elimu ya kidato cha nne pia napenda kujiendeleza panapo nafasi (kifedha zaidi) ni mama wa mtoto 1.nahitaji mume walau asizidi watoto wawili na awe hajawahi kufunga ndoa kama aliwahi kuishi na mwanamke co mbaya.vigezo awe mrefu,mkristo,asiwe mvuta sigara wala mlevi,awe ameajiri
https://www.jamiiforums.com/newthread.php

kumbe miaka yote ulikuwa hauna bwana na umri ndo unakwenda
 
Mimi nakidhi vigezo vyote ila ngoja na mimi nipige mtu mimba azae kwanza kama wewe afu niache au niachike kisha tuwe wote
 
Jaman Huma Jamvini Kuna Wake/waume Wazur Kbs,kuna Mtu Namfaham Kbs Wanaume Mwaka Juz Alitafuta Mke Humu Yeye Yupo Irnga Akapata Mwanamke Wa Morogoro.Mwaka jana mwez wa Tisa wamefinga ndoa na sasa wana mtoto mmoja miez 4
 
Jiwe hili lilimpata mtu?

Kama lilimpata utakuwa na kesi na mimi .....

Haiwezekani hata kadi usinipe wakati wote tupo Igombe banaaaaaaa ........!!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom