Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
252
143
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU

Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia

Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
 
Umeshindwa Kweli Kwenda Kanisa Lolote La SDA Ukapata Usahihi Alipo
Kwahiyo Unamtafuta JF, Twitter, Instagram, Facebook, Badoo
Sorry kama ni makosa, niliona HAPA ni rahisi zaidi kwangu, na kwa nia njema.
 
Njia Nyepesi Na Ya Haraka Ungepata Number Za Simu Za SDA Ambako Unadhani Alikuwa Anatoa Huduma Ungempata Haraka Sana
 
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU

Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia

Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
Namba yako ndiyo namba ya huyo mchungaji .....wenye akili tunajua kusoma alama za nyakati za wapigaji sadaka kama wewe naona unatafuta sadaka za mazuzu.
 
Shukran Pia kwa mawazo yako
 
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU

Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia

Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
Niyeke Tata mura weitho akore ikiya.?
 
Tafuta yatima na wajane wape hiyo sadaka utabarikiwa maradufu kulipo kumpa asiye na uhitaji.
 
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU

Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia

Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
Kwetu SDA sadaka hapewi mchungaji.. hata kama ni ya shukran unapeleka kanisa lililo karibu nawe..na itachanganuliwa mgawanyo kama utaratibu ulivyo
 
SHUKRAN kwa ushauri, basi niite zawadi kwake binafsi ikoje hii ?
 
Ohoo.. labda uandae kitu na si pesa.. maana pesa hawezi kupokea.

Kumpata.. sogea kanisa la sda lililopo karibu nawe naamini mchungaji wa hapo atakupa muongozo wa mawasiliano naye!
 
ok sawa Yeye yuko kenya na mm niko TZ
 
Back
Top Bottom