namtafuta GRACE JOACHIM

namtafuta GRACE JOACHIM

namtafuta dada mmoja alisoma nyamongo sekondary mwaka 1996-1999 anaitwa Pilly Kapele au Sofia Kapele alipomaliza shule alienda arusha Mto wa mbu walipokuwa wanaisha wazazi wake. kama kuna mtu anamfahamu anipm
 
Ninamtafuta Anna Dominick, alisoma Ruvu Sekondari na alimaliza kidato cha nne mwaka 1989 akiwa ni binti mwenye akili sana na alipata division one na zawadi ya uandishi wa insha bora nakumbuka kwa World Food Day ya FAO miaka hiyo. Aliiletea shule ya Ruvu Sekondari heshima sana maana ilipata zawadi cash na vifaa vya maabara. Alijiunga na kidato cha tano Kilakala Sekondari, na jeshini Makutopora. Dada huyu yuko wapi na anafanya kazi gani? Sijawahi kumsikia kabisa maana hii ndiyo human resource inatakiwa kwa taifa hili. Alikuwa ni mchaga ila ila sijui ni wa eneo lipi. Rafiki yake wa kike alikuwa anaitwa Zenobia Mtenga , walikuw darasa moja. Tafadhali sana naomba mno mwenye taarifa zake ani PM.
 
Nawatafuta kina Erasto Lucas,Abishai Daniel na Agness Peter Janka.
 
Namtafuta Neema Choka, mara ya mwisho kumuona ilikua 1989 maeneo ya Mlimani
 
namtafuta dada mmoja alisoma nyamongo sekondary mwaka 1996-1999 anaitwa Pilly Kapele au Sofia Kapele alipomaliza shule alienda arusha Mto wa mbu walipokuwa wanaisha wazazi wake. kama kuna mtu anamfahamu anipm
ameshaolewa huyoo
 
:yo:dah!ahsante kwa kunipa cheko asubuhi yote hii!
barikiwa sana!

Mtani snowhite upo?hope you had a nice weekend.Yaani mie nimecheka mpaka mpaka konyagi za weekend zimenilevya tena,lol
 
Okkkkkkkkkkkk.......... Kumbe ni wewe
Haya naomba nieleze kwa nini ulinikopa siku ile?
Madame B: Tulikuwa wawili tu nilipokukopa, tena sirini.Sasa mbona wamwaga kuku wengi kwenye mchele mchache...?
 
Last edited by a moderator:
Nawatafuta vijana wa kikurya popote walipo, jeshi litatanganza ajira hivi karibuni. Wale wa banana, gongo la mboto wani PM
 
Back
Top Bottom