namtafuta GRACE JOACHIM

namtafuta GRACE JOACHIM

Namtafuta baba dula wani, zakaria ndemfoo, hassan keya kaniki, kaisi musa kaisi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Umewasahau;
Wajadi Fundi Wajadi, Mpate Shaweji, Chesco wa Matunda, Sita wa Sita
 
Namtafuta Juma Ndaro, alisoma Rwegarulila Water Resources Institute.
 
Namtafuta happiness efatha mara ya mwisho nilionana nae chuo cha nursing pale mtwara,popote alipo ajitokezee
 
Uwiiiii.......namtafuta rafiki yangu mpendwa Makenge Mayai......mara ya mwisho tuliachana pale Nata kipindi tunapiga nyumbu........aliye na mawasiliano nae anipatie tafadhali........
 
Namtafuta mtalii mmoja hvi anaitwa jk,mara ya mwisho tuliachana nae morogoro kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
HUYO jamaa alihama long time siku hizi hana makazi maalum yaani leo uk kesho us ,japan ,china
 
Namtafuta Bishanga Bashaija. Mara ya mwisho nlmwona alpokuja kuniomba nimkopeshe hela ili akam honge kimada wake The secretary
 
Last edited by a moderator:
Naomba jamani mwenye kumfahamu Lilian Kulamiwa Kitetemi amwambie aijie heleni na mkufu wake alivosahau kwangu (nilipoteza namba zake).....Manake hata kama ni kusahau ndio mwaka mzima??...asipotokea ntaviuza kufidia hasara....
 
Namtafuta demu yoyote anaejihisi kua nami tukila raha! !
 
Back
Top Bottom