Mida hii hupatikanaga sana pande za mama ntilie ingia pande hizo utakutana naeNamtafuta jamaa yangu anayeitwa Breakfast ,tumbo linamuhitaji sana
Kwani wao mamba au masamaki mpaka wakae mtoni
namtafuta UKWAJU mara ya mwisho tuliachana SHYCOM ..
Nawatafuta jamaa zangu Kambale na Mamba wanakaa Mtoni...
Namtafuta Yusuph Mathias Kibajaji..
Mara ya mwisho alinitoroka Maisha Club.
Mwenye Cont zake, p'se ani Pm.
Ni mrefu maji ya kunde,
anatembelea Vogue.
Ewaaah!mm hapa...