Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Anza na Ester Matiko aka Covid 19Mambo Vipi Naitwa Noel Matiko, namtafuta baba yangu aitwaye Peter Matiko, walipotezana na mama yangu aitwaye Omega Macha maeneo ya Njiro Arusha miaka ya 1998
Sikuwahi kumuona ningefurahi sana kupata taarifa zake, kama akipata ujumbe huu au kwa yeyote anayejua alipo anitafute kwa simu namba 0676238390
Natanguliza shukrani!
Usifate huu ushauri.. Dizaini hizi wengi wana historia mbaya na umimi...Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyote aliekulea mpaka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Noted, boss!Usifare huu ushauri.. Duzaini hizi wengi wana historia mbaya na umimi...
Mtafute baba ako, Achana na yalio piyta kwa wazazi wako hayakuhusu...
Kama salamu unatoa na umezipokea lakini sisi Binadamu uwepo wetu hapa una siri nzito......
Acha uvivu na ugoigoi changamka kijana, hapa unapewa pakuanzia sio lazima utafuniwe kila kitu.sawa, japokua sijajua jinsi ya kulink na hiyo mifumo ya utambuzi
Kama kweli unamtafuta Baba yako basi jua hiyo ndio damu na mzee wako nae hana raha anakuwaza sana...noted, boss!
Ila tu cha msingi kama ukifanikiwa kupata mawasiliano yake au alipo tafadhali nenda taratibu na kwa hekima kubwa kabisa maana yawezekana ana familia nyingine na hajaiambia chochote kuhusu uwepo wako hivyo itabidi utumie mbinu mbadala kama utakuta hali hiyo ili familia yake ibaki salama.pamoja mkuu
Siku hizi NECTA kwenye matokeo hawaweki majina wanaweka namba tu kiongozi hivyo ni ngumu sanaAcha uvivu na ugoigoi changamka kijana, apa unapewa pakuanzia cio lazma utafuniwe kila kitu.
Kwa mfano ukiona matokeo ya shule fulan kuna mtu mnafanana majina yote ya mzaz utashindwa pa kuanzia? hiyo mifumo hujui ni ofis gan znazoiendesha?come on[emoji848]
Nashkuru sana bossIla tu cha msingi kama ukifanikiwa kupata mawasiliano yake au alipo tafadhari nenda taratibu na kwa hekima kubwa kabisa maan yawezekana anafamilia nyingine na hajaiambia chochote kuhusu uwepo wako hivyo itabidi utumie mbinu mbadala kama utakuta hali hiyo ili familia yake ibaki salamanders
Lakini pia achana na hao wanao sema usimtafute kwa sababu wanafikiri upande mmoja pekee, wao wame base sana kwa wewe kupata msaada kutoka kwa huyo baba , wewe nenda na yote, maana kwa mfano : ni vipi kama baba yako huyo yupo katika hali ngumu sana sana ya maisha au kiafya kutokana na kuwa na kipato duni ilihali wewe una hali nzuri kifedha ? Huoni kumtafuta kwako kutamuokoa ?
Nina mfano hapa rafiki yangu naye alimtafuta sana baba yake kwa mda mrefu kumbe yule mzee alikuwa hoi anaumwa kalazwa pale BUGANDO na hana msaada kwani hali yake ngumu na bahati mbaya mke aliye oa hakujaliwa kupata nae mtoto lakini aliishi naye hivyo na yupo anamuuguza pale tatizo ni kukosa pesa laki 7 tu ya upasuaji
Sasa jamaa alipo enda kumtembelea mfanya kazi mwenzie aliye pata ajali ya gari ndio anasikia manesi wana elezana kwenye korido kwa kutaja jina la mgonjwa kwamba wanataka wamruhusu tu aende nyumban maana hata akibaki pale hakuna cha kufanya, ndio jamaa alipo sikia jina linatajwa ndio kuuliza kwa manesi akapewa maelezo alipo ruhusiwa kwenda kumuona huyo mzee na kumdadis maswali kumbe ni baba yake mzazi kabisa
Jamaa akalia sana na hasa akiangalia hali na hadhi yake halafu na hali aliyo nayo baba yake mazazi pale kitandani na hapo ndio ikawa pona ya mzee maana alimsafirisha akaja kutibiwa hapa muhimbili na yupo safi hadi sasa na anazidi kumpa baraka mtoto wake
Na jamaa kiumweli kabisa ananiambia mambo yake yameanza kumyookea na hasa baada ya kufanikiwa kumpata baba na kubwa zaid kumnusuru na kifo cha maradhi ya kukosa pesa
Huo ni mfano dhahir kabisa ulio mtokea rafiki yangu wa karibu kabisa
Anaitwa PETER MATIKO NYAMOHANGAIngekua vizuri ungetaja majina yake matatu, asili yake pia ni mtu wa wapi na kabila lake. hii ingesaidia kiasi chake
Shukrani sana mkuuKama alikuwa mwanajeshi hao jamaa Wana Taarifa za watu wao vyema uende kambi iliyo Karibu nawe watakupa msaada utaratibu gani huwa unafuatwa unapomtafuta Ndugu au mzazi wako
Jitahidi nawe uwe na maelezo yaliyonyooka
Pata taarifa zake kambi alizofanyia kazi ikibidi cheo chake wakati huo asili yakeshukrani sana mkuu
Exactly !!Tatizo si kupata chochote....dogo ana haki ya kumjua baba ake
Peace of mindAkishamjua..then wat next?
Duh, kwahio unamtishia au vipi, sasa kama sio kutaja jina angepataje msaada wa haraka zaidi ? Nawe ulivyo mjinga kwanini usingeenda tu inbox kwake ukampa taarifa ambazo zingemsaidia kumuona baba yake,? Na mbona unamtuhumu kua hana shukrani? Yani mtoto apoteze muda kumlea mama yake mzazi aliyemzaa na kumbeba miezi 9,? Au nyie mmezaliwa na mbuzi hadi kufikia kuona MTU anayetunza au kutafuta mzazi wake anaonekana mjinga, wewe kumfichia habari na kumtishia imekusaidia nini au itakusaidia nini wewe binafsi? Yani hapa ndipo ambapo naona watanzania wengi ni BOGUS kabisa...ukitafuta mzazi unaonekana labda unataka Mali za urithi, wengine wanataka tu maongezi na kumfahamu mzazi wake halisi, au wewe una share katika hio familia yake mpya unayojitapa nayo ..jitathmini na jifikirie kijana.
Ana haki ya kumjua ili huko mbeleni asijekujikuta kaoa Dada yake bila kujua.Tatizo si kupata chochote....dogo ana haki ya kumjua baba ake