Wewe umejuaje kama babake alimshit je kama mamake ndio alimfukuza /alimkataa babake ?ni vizuri kumtafuta mzazi wako,ila jiandae kisaikolojia unaweza usimpate,au ukimpata akaku reject,kama aliku shit ulivyokua mdogo anaweza kuku shit pia uko kubwa,sikukatishi tamaa ila jiandae...
na sijui hata nimekosea nini, nisingemtaja jina angemjuaje?Mkuu
Kama amekosea
Mpe basi njia/muongozo sahihi wa kumtafuta Baba yake
Baba anabaki kuwa Baba haijalishi yupovipi!
dah this is tzDuh, kwahio unamtishia au vipi, sasa kama sio kutaja jina angepataje msaada wa haraka zaidi ? Nawe ulivyo mjinga kwanini usingeenda tu inbox kwake ukampa taarifa ambazo zingemsaidia kumuona baba yake,? Na mbona unamtuhumu kua hana shukrani? Yani mtoto apoteze muda kumlea mama yake mzazi aliyemzaa na kumbeba miezi 9,? Au nyie mmezaliwa na mbuzi hadi kufikia kuona MTU anayetunza au kutafuta mzazi wake anaonekana mjinga, wewe kumfichia habari na kumtishia imekusaidia nini au itakusaidia nini wewe binafsi? Yani hapa ndipo ambapo naona watanzania wengi ni BOGUS kabisa...ukitafuta mzazi unaonekana labda unataka Mali za urithi, wengine wanataka tu maongezi na kumfahamu mzazi wake halisi, au wewe una share katika hio familia yake mpya unayojitapa nayo ..jitathmini na jifikirie kijana.
sijakuelewaMajina mengine bhana malaika mtoa baraka anaweza kukupita hivihivi wakati jina lako halisi unalo.... alisikika mlevi mmoja hivi hapa liquid pub
shukran mkuuNenda taratibu na uongozwe na busara sana.
Hawa wanakuwaga na familia zao mpya wanazoishi nazo kwa sasa. Na unakuta huyo mbaba hajawahi kumwambia yyte (hata mkewe wa sasa) kama alishazaa huko nyuma.
Ukijitokeza ghafla baba anaweza kukukana fasta ili aonekane msafi kwenye familia yake mpya (hili nimeshawah kulishuudia laivu)
La muhimu fanya utafiti wa kina wa kichinichini ukianza na taarifa alizokupa mamaako na nduguzako wengine.
Binadam anapotea lakn taarifa zake hazipotei. Utazipata tu taarifa zake awe mzima au la.
Kubwa kuliko yooote usitegemee makubwa hata baada ya kumwona huyo mtu aliekutelekeza miaka yoooote hiyo hadi umekuwa mkubwa hivo.
Hapana, sijapata connection naeUmejaribu kucheck na Esther Matiko?
sawa, japokua sijajua jinsi ya kulink na hiyo mifumo ya utambuziPia jaribu kutumia mifumo ya utambuzi ya kiserekali maana saivi iko mingi km taarifa za nida, leseni, namba ya mpigakura, necta, uko vyuoni...
Ila hakikisha unapata majina matatu maana uezekano wa watu kufanana majina mawili ni mkubwa mno.
nashkuruAll the best mkuu. Ila jiandae kisaikolojia unaweza kukutana Halafu akakuignore na kutojali. Utajiskia vibaya Sana
Rafiki yangu alimtafuta baba yake for years akapata connection za family. Siku ya kukutana baba Hana habari Naye shikamoo marahaba hakuna za miaka mingi Wala Nini. He was so disappointed after that meeting hakuwagi mtafuta Tena and wish asingemtafuta. Kuna mzee ndio aliyemlea huyo ndo father figure kwake, Yuko so free nae kumweleza anything.
Baba mzazi na baba mlezi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti kabisa ni vyema amtafute baba yake hayo mengine yatakayo endelea baada ya kumpata wala tusiyapigie ramli chonganishi maana huwezi jua ukweli wa mama na baba kuachana na hasa ukisubiri maelezo ya upande mmoja.Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyote aliekulea mpaka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Ok! nenda Twitter kule kuna mtu anaitwa Kigogo juzi kati hapa aliweka namba ya Esther Bulaya...huyo ana namba ya Esther Matiko...All the best.Hapana, sijapata connection nae
pamoja mkuuBaba mzazi na baba mlezi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti kabisa ni vyema amtafute baba yake hayo mengine yatakayo endelea baada ya kumpata wala tusiyapigie ramli chonganishi maana huwezi jua ukweli wa mama na baba kuachana na hasa ukisubiri maelezo ya upande mmoja.
Nakusihi tafuta baba mzazi ana radhi zake kwako mana umetoka maungoni mwake labda kama alikukataa maana kina mama hawa huwachonganisha sana watoto na baba zao hasa kama walitengana kitu ambacho hupelekea watoto kujaza chuki kwa wazazi wao wakati ukiupata ukweli ynakuta kosa ni mama
shukranOk! nenda Twitter kule kuna mtu anaitwa Kigogo juzi kati hapa aliweka namba ya Esther Bulaya...huyo ana namba ya Esther Matiko...All the best.
Yes ni kweli ,ni ndugu yakeLabda mpigie Esther Matiko anaweza kuwa dadako.
Ushauri makiniKama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyote aliekulea mpaka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Matiko sio matikuMimi Kuna mzee jirani yangu anaitwa Edwin Peter Matiku, asili yake ni Mara (Chabakari ) tunacheza nae draft kijiweni alikuwa Dereva wa Malori na kwa maelezo yake ametembea mikoa mbalimbali kulingana na kazi yake ikiwemo huko Arusha ndio maana nimekuliza hata kazi yake.
Short and clearkumtafuta mzazi wako uliyempoteza sii dhambi, na kwa wakati niliofikia sihitaji msaada kutoka kwake, huenda nikawa msaada kwake, relax!