Namtafuta Baba yangu aitwaye Peter Matiko

Status
Not open for further replies.
ni vizuri kumtafuta mzazi wako,ila jiandae kisaikolojia unaweza usimpate,au ukimpata akaku reject,kama aliku shit ulivyokua mdogo anaweza kuku shit pia uko kubwa,sikukatishi tamaa ila jiandae...
thanks so much, even simtafuti labda nahitaji msaada wake, hapana, niko kwenye hali ya uchumi wa kati [emoji1787] ila huwezi jua huko alipo ana hali gani, huenda mimi kama mwanae nikamsaidia pia so rejection doesn't look like anything to me, kikubwa nijua either he's alive or not
 
😂😂 ..Relax
 

haya mkuu..

all the best..

ila rejection is hard to deal with..

hata kama uko mkubwa...

again,all the best
 
Tangu niingie fj huu ndio ujumbe konki kuliko
 
Watu wengine bwana,Sasa haya maelezo machache utasaidiwaje mkuu ?,elezea asili ya mzazi wako vizuri.mfano Kijiji, kata, tarafa, wilaya na hata kazi alillokuwa anafanya ili iwe rahisi. Muulize mama yako asili yake na kazi alillokuwa anafanya wakati huo.
 
Watu wengine bwana,Sasa haya maelezo machache utasaidiwaje mkuu ?,elezea asili ya mzazi wako vizuri.mfano Kijiji ,kata,tarafa ,wilaya na hata kazi alillokuwa anafanya ili iwe rahisi.Mulize mama yako asili yake na kazi alillokuwa anafanya wakati huo.
ningekua najua hivyo vijiji ningeshampata
 
Hayo majina ya matiko ni ya watu wa MARA..Wengi wako KITUNDA Kwa Dar
Ni kweli ila Matiko wanatumia Wakurya wa Tarime, wazanaki Butiama, waikizu wa nyamuswa na wangoreme huko maji moto pia waikoma. Hivyo lazima ajue anatokea sehemu gani hasa kwenye chimbuko. Huwenda jina moja ambalo halipo likawa linaelekeza zaidi
 
Wewe..kila mtu afikirie vile anavyofikiria..unataka kuforce mawazo yako yafanane na yangu???!!..na ukikijua kilichofanya wazazi wake watengane inatosha..wazimu huu
 
ningekua najua hivyo vijiji ningeshampata
Mimi Kuna mzee jirani yangu anaitwa Edwin Peter Matiku, asili yake ni Mara (Chabakari ) tunacheza nae draft kijiweni alikuwa Dereva wa Malori na kwa maelezo yake ametembea mikoa mbalimbali kulingana na kazi yake ikiwemo huko Arusha ndio maana nimekuliza hata kazi yake.
 
Endelea kumtafuta mzazi wako hata kama una baba mwingine,, ila kumbuka mzazi wako atabaki kua mzazi wako tu,,achana na hao wanao kukatisha tamaa..Natumahi ukimpata utakua na furaha sana.....
 
Dogo asilete jeuri achukue huu ushauri,

Kama hana shida has ya kutaka kuwezeshwa anahangaika nini badala amuwezeshe mama yake wapae uchumi wa kati kwanza,,,kisha taarifa zitamfikia huyo baba yake na atajileta mwenyewe.

Pia km ananjaa anahitaji kuwezeshwa asahau apambanie hali yake.


Au unahisi yule matiko wa bungeni atakuwa Dada ?yako???
 
Esta Matiko atakua ndugu yako
 
duh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…