CHOKAMBOVU
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 820
- 532
nyoooooooooooooooo,kwahiyo umefurahii mwanamke bazazi wewe
JF ni kijiwe na it deserve story za vijiweni, if you will think perfectly you will find that there is no body who expose his or her inner life in social networks, tunaafanyaga ili muda uende na stress zipunguaHahahahaaaa, JF ni rahaaa...
Dada Nazjaz ana historia ya kutuletea story za uongo.
Refer: story ya mvaa hirizi.
JF ni kijiwe na it deserve story za vijiweni, if you will think perfectly you will find that there is no body who expose his or her inner life in social networks, tunaafanyaga ili muda uende na stress zipungua
Whatt? So u mean watu wanamaliza mb kwa fake stories; moron!!
Hahaha...ina maana ulikuwa hujui?
Na kuna wakati mwingine unakazana kumshauri mtu ukidhani ni mwanaume, kumbe ni mwanamke na akakuchora tu...
Best unataka wanajf 2semeje ss.cjaelewa unatakaje.ila words ulzo2mia maanalec.
yani we ndio umemwaga mashudu kabisa, hata wa chekechea ana haueni.
ahaahah ha, mkuu watake radhi waendao haja kwa kuchuchumaa. ina maana ke, ndio hawashauriki???Hahaha...ina maana ulikuwa hujui?
Na kuna wakati mwingine unakazana kumshauri mtu ukidhani ni mwanaume, kumbe ni mwanamke na akakuchora tu...
maana kila ushauri una positives na negatives zake. Lakini naamini mwishoni ntapata neno jema, maana penye wengi hapaharibiki kitu[/QUOTEmsaidie kwa kumpeleka kwenye vituo vya kusaidia mateja na atakapo rudi kwenye hali yake msaidie pia kuendelea na masomo.
Mbona havihusiani na uzi huu, au ingilishi yangu ya 'mimi ni maimuna"?attention seeking disorder (ASD)
there is no treatment for such diseases at the moment, researches suggest that frequent sex may be useful, alcohol exacerbate the problem especially when the subject is horny and didnt get boned!!